Blogger Widgets

October 28, 2013

Tazama Sasa Madhara ya Kunywa Pombe Ya Kupitiliza Kwa Watoto wa Kike

Ama kweli pombe mwanaharamu, baada ya watu kupiga tungi, watu wakaanza kujiachia na kuchezacheza bila ya muelekeo mwisho wa siku hayoapo juu ndo yaliyotokea!