Blogger Widgets

October 18, 2013

Watu Washangazwa na Salama Jabiri Mtangazaji wa EATV alivyowanyooshea Watu Dole la Kati Kwenye Shindano la EPIQ BSS 2013 akiwa na Professa Jay,Master Jay na Madam Lita.CHECK PICHA

Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidauiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya  kipindi cha EPIQ BSS 2013, kinachorushwa hewani kupitia kituo cha TBC1, Salama alifanya kituko hicho akiwa ameketi mezani na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Profesa Jay wa kwanza kutoka kushoto,mratibu wa Shindano la Bongo Star Search  Madame Lita katikati na Master Jay.