Blogger Widgets

November 14, 2013

Aibu Juu ya Huyu Balozi Huyu wa Kike wa Vijana Kwa Kuvuja kwa Picha Zake za Utata


Muimbaji, Adokiye Kyrian, 25, hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi wa vijana katika jimbo 
la Imo n Gavana Rochas Okorocha lakini kwa bahati mbaya siku chache baada ya uteuzi huo matukio yake ya nyuma na vijitabia vya ajabu vimekuja kumuwinda.Imesemekana kuwa miezi michache iliyopita kabla Adokiye hatateuliwa kuwa Balozi wa vijana aliwahi kupiga picha za u2pu na sasa baada ya kuwa kiongozi wabaya wake wamezitoa hadharani.