Blogger Widgets

December 17, 2013

Mr. Nice Apata Bahati Nyingine Baada ya Kupata MisukoSuko Mingi

Msanii wa muziki nchini Lucas Mkenda aka Mr. Nice amepata shavu jipya la kufanya filamu na kampuni ya VAD Film Production yenye makazi yake nchini Denmark.
Mr Nice akifanyiwa mahojiano.
Mr Nice akifanyiwa mahojiano.
VAD Film Production iliyomchukuwa Mr Nice kwaajili ya kufanya filamu ni kampuni ya kiafrika maarufu kwa ajili ya waafrika wanaoishi nchini Denmark wakiwa wamejikita katika utengenezaji wa filamu kwa kutumia lugha ya Kiswahili.
p
Mr Nice akiwa nchini Denmark
7

 
Mr. Nice (kulia).
Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa.Katika mwaliko huo Mr. Mr nice alipata
nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo.