Blogger Widgets

January 23, 2014

Picha Ikionesha Jinsi Msanii CIARA akiwa anapiga show ya Nguvu Bila Kujali Ujauzito WakeBila kujali hali ya ujauzito aliyokuwa nayo, mwanamuziki CIARA juzi juzi alipiga show ya nguvu huko majuu na kukamua na staili zake za kucheza kama kawa huku kitumbo cha ujauzito kikimtoka mbele, hakujali na wala hiyo haikumfanya kuwanyima mashabiki wake ladha.