Blogger Widgets

January 2, 2014

Tazama Wanenguaji wa Msanii Snula walivyofanya Majanga kwenye Show ya Dar Live

                   
 
Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live.
 
Snura akisema na mashabiki wake.
 
Wanenguaji wa Snura wakiwa kazini.
Snura na kundi lake wakizidi kupagawisha mashabiki wa Dar Live.