Blogger Widgets

February 6, 2014

Mtazame Baunsa Analipwa Na Msanii Diamond Platnum Laki Tano kwa Week na Kuzuiliwa kumlinda Msanii wa Nigeria Alieimba Nyimbo ya Ozonto


 Baunsa maarufu kama Rosse akiwa na Azonto mwishoni mwa mwaka jana ambapo mwanamuziki huyo wa Raia wa Ghana alikuwa amempa shavu la kwenda kumlinda nchini Ungereza lakini Diamond amemzuia ili amlinde yeye na Mkewe Wema.


Hapa Baunsa huyo akiwa na Diamond baada ya kumzuia asiende nchini Ungereza kwa mshahara wa shilingi laki tano kwa wiki huku kwa siku pia akichukua posho ndefu. pamoja na kula vinono na mshua wake.