Blogger Widgets

February 23, 2014

Tazama Zile Picha za Salama Jabir na Ommy Dimpozi walivyojiachia jana kwenye Viwanja vya Chelsea FC Stamford bridge kuangalia mechi kati ya Chelsea vs EvertonOmmy Dimpoz aka PKP akiwa na Salama Jabir katiak uwanja wa Chelsea FC Stamford bridge kuangalia mechi kati ya Chelsea vs Everton
 Ommy Dimpoz na Salama Jabir wakiwa na mchezaji chipukizi wa Chelsea Adam Nditi

Ommy akiwa na wachezaji chipukizi wa Chelsea baada ya mechi kumalizika Adam Nditi kulia na Islam Feruz Kushoto