Blogger Widgets

March 5, 2014

Hatimaye Msanii Ally Kiba aanika Hekalu(mjengo) Wake wa Hatari huu hapa.TAZAMA PICHA MBALIMBALI

 
Akimalizia kuweka sama maeneo ya Chumbani. 
Ukiwa ndani ya Hekalu Jumba la Ngvu la Msanii ally Kiba 
Hili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba
Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-