Blogger Widgets

March 16, 2014

Tazama Picha:tukio litalofanywa kwa Pamoja Monalisa, Lulu, Joti Na Richie Kuwa Majaji Wa Tanzania Movie Talent !

Monalisa, Joti, Elizabeth Michael "Lulu" na Single Mtambalike "Richie" kuwa majaji wa Tanzania Movie Talent(TMT) inayotarajiwa kuanza kufanyika mwezi April katika mikoa mbalimbali nchini  !. Well... kupitia mtandao mmoja wa kijamii Lulu ameweka picha hiyo hapo juu akionekana na kina Monalisa na kuandika "Kikazi zaidi...!kwa ww mwenye kupaji cha kuigiza kaa
tayari...!TANZANIA MOVIE TALENTS...!#comingsoon"