Blogger Widgets

May 22, 2014

Nakupa Muda wa Kuangalia Jinsi Rich Mavoko Alivyotua Nchini Burundi Baada ya Kupata Dili Nono Huko nchini Burundi

Rich Mavoko yupo nchini Burundi ambako amepata dili na kampuni iitwayo Ikoh ya nchini humo ambayo itahusika na yeye kuwanyanyua wasanii wa huko. Mavoko amealikwa kuwapa moyo wasanii wa Burundi na pia katika mkataba huo atatumbuiza kwenye tamasha kubwa litakalofanyila December mwaka huu.
IMG-20140521-WA0007
Rich Mavoko baada ya kutua jijini Bujumbura

IMG-20140521-WA0005
Kwa mujibu wa chanzo chetu inasemekana ni deal nono ambalo litampeleka Mavoko kwenye hatua nyingine. Akisita kuweka wazi mkataba huo, Mavoko ameiambia Bongo5: Kwa ufupi tupo kwenye maongezi ya huo mpango kuhusu wasanii wa Burundi, mambo mazuri.”
Hizi ni picha za zingine za Mavoko akiwa Burundi.
IMG-20140521-WA0006
IMG-20140521-WA0008

IMG-20140521-WA0009
IMG-20140521-WA0010
From:Bongo5