Blogger Widgets

May 23, 2014

Naomba Niwasilishe Taarifa Hii kutoka kwa Uvumi Juu ya kufukuzwa kwa YuleMsichana na Mwanachuo wa Chuo wa UD Ambaye Kamake Headline Kwa Hii Video Yake,Pia Kaelezea kama ni Kweli Kafukuzwa Chuo Au Lah

Baada ya kusambaa kwa video ya mwanafunzi wa chuo aliedai kuchoka na shule mtandaoni na katika meseji fupi za whatsapp,leo kuna uvumi ulitokea kua binti huyo amefukuzwa chuo na blogs kadhaa zilinukuliwa zikisema "Tue makini kwa video tunazopost" na kuongeza kua binti yule aliepost ile video kafukuzwa chuo kwa sababu ni malaya....!!!!!


Binti kajitokeza na kusema kua hajafukuzwa chuo na kuomba wanaozusha waache kufanya hivyo wafanye mambo yao,pia alifikisha ujembe huo kupitia status ya whatsapp katika simu yake kama inavyoonesha hapo chini.Kwa mujibu wa chanzo chetu bado haijafahamika mara moja kama binti huyo alikua anafanya utani ama alikua serious na haijafahamika pia kama kweli kafukuzwa chuo ama 
 bado yuko chuoni.....!