Blogger Widgets

May 22, 2014

Soma Moja Ya Kauli ya Kauli ya Wema Sepetu Inayozungumziwa kwa Kuprove kwamba Atakuwa Mmoja wa Watu watakaomsindikiza Diamond Platnum kwenye Tuzo za BET huko Marekani

Haya hatimaye leo tumemaliza ule ubishi wa watu waliokuwa wanabishana kuhusiana na swala zima la wema sepetu kumsindikiza diamond the platnumz kwenye tuzo za BET awards 2014 , i hope mmeiona hiyo screen snap ambayo tumeichkua leo kupitia account ya instagram ya staa wema sepetu, akifunguka ya kuwa 
atamsindikiza diamond the platnumz kwenye awards hiyo, oo God mh eti itakuaje?

Kwenye red carpet huku beyonce na jay z, na huku diamond the platnumz na wema sepetu haya kantangaze.