Blogger Widgets

May 21, 2014

Tazama Jinsi Diamond Alivyotokea Tena Mara Nne kwenye Categories za Tuzo za AFRIMMA

Pia Ben Pol, Jaydee, Sheddy Clever na Mrisho Mpoto watajwa kuwania tuzo za AFRIMMA


Diamond, Ben Pol, Jaydee,Sheddy Clever na Mrisho Mpoto wametajwa kuwania kuwania tuzo za Africa Music Magazine Awards, AFRIMMA 2014.
afrimma_flyer_web-682x1024
Diamond ndiye aliteyajwa kwenye vipengele vingi zaidi (5) vikiwemo Msanii wa Mwaka, Wimbo wa Mwaka, Collabo bora, Video Bora ya mwaka na msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki. Ben Pol ametajwa kuwania tuzo ya msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki, Sheddy akitajwa kuwania kipengele cha mtayarishaji bora wa mwaka, Lady Jaydee katika kipengele cha msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki na Mrisho Mpoto akitajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa muziki wa asili.
Hivi ni vipengele ambavyo wasanii hao wa Tanzania wametajwa pamoja na wale wanaochuana nao. Ingia hapa kuona vipengele vyote na kupiga kura. Tuzo hizo zitatolewa July 26, huko Texas, Marekani.
Artist of the Year
Flavour (Nigeria)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Mafikizolo (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Anselmo Ralph – A Dor do Cupido (Angola)
Jaguar (Kenya)
Song of the Year

Davido – Skelewu (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru – Khona (South Africa)
KCee – Limpopo (Nigeria)
P Square – Personally (Nigeria)
Yuri Da Cunha – Atchu Tchu Tcha (Angola)
Fuse ODG feat Wyclef – Antenna Remix (Ghana)
L.A.X feat Wizkid – Caro (Nigeria)
Diamond feat Davido – Number One Remix (Tanzania)
Best Collabo
2face ft Tpain
Diamondz ft Davido – Number One Remix
Mafikizolo ft Uhuru – Khona
Dr Sid ft Don Jazzy, Phyno, Wizkid – Surulere Remix
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat – Touching body
R2bess and Wizkid – Slow down

Music Producer of the year

Shizzi (Nigeria)
Killbeatz (Ghana)
Dj Oskido (South Africa)
Nash Wonder (Uganda)
Sheddy Clever (Tanzania)
Ogopa (Kenya)Don Jazzy (Nigeria)

Best Video of the Year

Psquare – Personally
Sarkodie – Illuminati
Mafikizolo ft Uhuru – Khona
Diamond Platnumz – Number One
Flavour – Ada Ada
Anselmo Ralph – Unica Mulhe

Best Traditional Artist

Flavour (Nigeria)
Kwabena Kwabena (Ghana)
Bassekou Kouyate (Mali)
Sayicology (South Africa)
Mrisho Mpoto (Tanzania)
Stanlux (Togo)
Tunakie (Namibia)
Best Female East Africa
Rema (Uganda)
Aster Aweke (Ethiopia)
Avril (Kenya)
Lady Jaydee (Tanzania)
Victoria Kimani (Kenya)
Irene Ntale (Uganda)

Best Male East Africa

Diamond Platnumz (Tanzania)
Ben Pol (Tanzania)
Bebe Cool (Uganda)
Wyre (Kenya)
Navio (Uganda)
Jackie Gosee (Ethiopia)