Blogger Widgets

May 21, 2014

Tazama Picha ya Mtoto wa kiume alizaliwa na msanii Ciara na rapper Future

Ciara and Future
Ciara na Future
Ciara (28) amejifungua siku ya Jumatatu asubuhi (May 19) huko Los Angeles, Marekani.
Future Zahir ni mtoto wa kwanza kwa Ciara na kwa Future anakuwa mtoto wanne.
ciara son
Jana Ciara alipost picha ya mkono wa mwanaye Instagram na kuandika, ‘FUTURE ZAHIR WILBURN 9lbs 10oz May 19 2014′.