Blogger Widgets

May 18, 2014

Tazama Picha za Show Baab Kubwa Aliyoifanya Diamond Platnum na Ommy Dimpozi Huko BONGOUK/CLUB MALIBU UK Pia Endelea Kupigia Kura Diamond Platnum Link Ipo Chini

Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi 
Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK
Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,