Blogger Widgets

May 21, 2014

Tazama Picha zote za Mazishi ya Marehemu Adam


 
Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.
 
Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.
 
Watangazaji Sauda Mwilima (kulia) na Zamaradi Mketema (kati) wakiwa msibani hapo. Kushoto ni msanii Shamsa Ford.
 
William Mtitu (katikati) akiwa na waombolezaji.
 
Ibada ya kumuombea marehemu ikiendelea.
 
Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukitolewa kwa ajili ya kuagwa.
 
Baadhi ya wasanii baada ya kuwasili Bunju B.
Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani Bunju B.
 
Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka kwenye gari Bunju B.
MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa nyumbani kwake Bunju B, Dar ambapo ndugu, jamaa, wanasiasa, marafiki wameshiriki tukio hilo. Kesho asubuhi mwili utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.MAREHEMU ADAM KUAMBIANA

Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, vilifanyika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Marehemu kuambianaa amekuzikwa jana  kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.

MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA


MAREHEMU ADAM KUAMBIANA

  »Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la marehemu Adam Philip Kuambiana, muda mfupi baada ya shughuli za maziko kukamilika.

Jacob Steven 'JB', akiweka shada kwenye kaburi. 

Msanii wa fialmu Bongo, Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili makuburini tayari kwa shughuli za kuusitiri.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kuambiana likishushwa kaburini.
Jeneza likishushwa kaburini.

Msanii wa filamu, Richie Richie akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
Baadhi ya mafundi wakichanganya zege kujengea kaburi.
Mafundi hao wakikamilisha shughuli za kujengea kaburi hilo.
Mchungaji akiweka msalaba kwenye kaburi.

Mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi (Chadema), akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe.
Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers Ltd, Eric James Shigongo akitoa salamu za mwisho kwenye mwili wa marehemu Adamu Kuambiana.
Baadhi ya waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu.
Msanii wa Filamu Bongo, Flora Mvungi akiaga mwili wa marehemu Kuambiana.
Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Clouds FM, Ephraim Kibonde akipita kuaga mwili wa marehemu Kuambiana.
JB, akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaha wa marehemu Adam Kuambiana.
Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB, baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.
Msanii wa Filamu Bongo, Jini Kabula akiaga mwili kwa machungu.
Davina akibebwa baada ya kuzidiwa wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Jack Wolper akipita kutoa heshima za mwisho.