Blogger Widgets

June 2, 2014

Tazama Picha Jinsi Ray C alivyoingia Mtaani Kuwashauri Mateja Waachane na Madawa Ya Kulevya



 Ray C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......

No comments:

Post a Comment