Blogger Widgets

November 7, 2012

Huu Ndio muonekano Mpya wa Benny Kinyaiya Baada ya Kuhama EATV na sas akiwa Clouds Tv

Heey FUN'z, im officially announce kwamba now nimehamia CLOUD's TV, so uskose kunichec kwenye kipindi changu kuanzia Jumamosi hii usiku saa 8:05pm uone zile 'FUJO' zangu
Luningani kama kawa, Lee gooooo...