Blogger Widgets

December 30, 2012

Wasafii!:This is Diamond Platnum,check interview Kali aliyofanya Diamond na mwanadada Peniel wa Dtv

Kwa mara ya kwanza jana kipindi cha X-Live kinachoendeshwa na mwanadada Peniel wa Dtv....
Kiliruka hewani na President nilipata nafasi yakualikwa katika kipindi hicho na nilijiskia furaha
kuwa msanii wa kwanza kufanyiwa Interview katika kipindi hicho cha X-Live...
Tulizungumza mengi ikiwemo Video zangu zote mbili Nataka Kulewa na Kesho ila kubwa kuliko ni
Show ya Wasafi itakayofanyika pale New Maisha Club siku ya Tareh 1/1/2013
USIKOSE.check Pictures

.












& Romy J

& Quick Rocka