Check Yaliyojiri kwenye birthday party ya HELLEN KAZIMOTO, ROSE NDAUKA, KING KAPITA & TANISA ndani ya NEW MAISHA CLUB ...Full Kujiachia
Pichani ni mwanadada Hellen Kazimoto ambaye alikuwa anaianza sherehe
yake ya kuzaliwa baada ya kufika saa 6 usiku na kuingia tarehe 7.
Maisha Club sehemu ya VIP ndiko kulipokuwa kunaendelea bata hilo hukua
akiwa na marafiki zake ambao nao walikuwa wanakumbuka siku yao
yakuzaliwa. Watu hao ni pamoja na msanii wa Bongo fleva anajulikana kwa
jina la KING KAPITA pia Bongo Movie Queen namzungumzia ROSE NDAUKA na
mwanadada mwingine anaitwa TANISA
Pichani ni Rose Ndauka akiwa na rafiki zake
Kulia ni mume wa Rose Ndauka pamoja na Rose mwenyewe wakiunda kundi jipya la TNG Squad
Rose Ndauka na Kajala
Rose Ndauka na Robby One
Tanika, Hellen Kazimoto, Rose Ndauka na King Kapita wakiwa wameloa tepe
tepe kwa kuogeshwa na marafiki waliofika kwenye party hiyo
No comments:
Post a Comment