Blogger Widgets

March 25, 2013

Alichoandika Mtangazaji Fina Mango Baada ya Kuvamiwa na Majambazi Karibu nane Nyumbani Kwake wakiwa na Siraha

 

Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim, pamoja na mali kadhaa ambazo Fina hakutaja ni mali gani na fedha kiasi gani pale alipoandika kupitia mtandao wa twitter.
nimejaribu kumtafuta kwa ajili ya info zaidi, lakini hakuweza kupatikana baada ya kuambiwa simu yake pia ni moja kati ya vilivyobebwa na majambazi hayo. katika tukio hilo hakuna aliejeruhiwa