Blogger Widgets

March 2, 2013

Nick Mbishi kafanya Kitu ndani ya Dakika Mbili Tuu,Prefesa Jay ampa a.k.a Mpya


IMG_3898-640x427 
Rapper anayeheshimika kwa mitindo huru na uwezo mkubwa katika utunzi wa mashairi, Nikki Mbishi aka Terabyte anatarajia kuachia video ya wimbo wake uitwao Dakika Mbili.
“Asante Mungu nimefanya video yangu salama leo expect it soon,” ametweet.
Katika hatua nyingine rapper huyo amesema jina la utani la Terabyte aliloanza kulitumia hivi karibuni alipewa na Profesa Jay baada ya kumshangaza kwa uwezo wake wa kuziimba nyimbo zake (Profesa).
Nikki Mbishi akipiga story na Profesa Jay kwenye Kilinge cha Msasani Club wiki kadhaa zilizopita
Nikki Mbishi akipiga story na Profesa Jay kwenye Kilinge cha Msasani Club wiki kadhaa zilizopita