Blogger Widgets

March 14, 2013

Tafakari nini Dhumuni la Khanga Moja:Wengi wanadai Kanga Moja Wamepigwa Marufuku lakini Ukweli Shughuli Hii Bado inaendelea

Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko'
 mmmmmh

Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili?

Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu!
Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko    

jionee mwenyewe   

Astaghafirullahi.... hii sasa noma. Uchezaji huu wa mnenguaji mmojawapo wa akina 'Kanga Moko' nd'o uliomchefua mbunge hadi akalalamika bungeni.