Blogger Widgets

April 29, 2013

Kweli Ndoa Ndaano:Check Picha za Mke wa Hammer Q,Bi Salha Jinsi alivyopigwa na Kufanyiwa Unyama Mbaya na Mume Wake Hammer Q


Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigooooo.






Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu hatariiiii.



Mwenyez Mungu atunusuru na mume wa aina hii, hiki kipigo bidada alikipata baada ya kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q.
Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akamppasulia kioo kichwani, kampiga na jiko la mkaa kichwani yani ilimradi taflani tupu,
Hammer Q ni mshikaji wangu lakini kwa hili umeniboa sana na kila nikiangalia hizi picha mwili unanisisimuka, #im sad mi hapa :(
pole Salha Inshaallah utapona wifi yangu :(
From: zeddylicious