Blogger Widgets

June 4, 2013

Tazama Picha 50 Jinsi Wasanii na Masuper Star Wote Waliojitokeza Kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea,Pia Check Picha Jinsi Washkaji Zake Walivyokuwa Wanalia Kwa Uchungu Mbele za Watu na Kushindwa KujizuiaGari maalum la Kubeba Mwili Msanii wa Muziki wa Kizaki Kipya,Marehemu Albert Mangwea likiwa tayari tayari kwa kubeba mwili.
Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini. Gari iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la Eapoti hivi punde wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi--Amen

Wadau kibao wapo uwanja hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea.
Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akihojiwa na vyombo vya hapari uwanjani hapa.
Prof. Jay nae alipata wasaha wa kuongea na vyombo vya habari juu ya Msanii mwenzao Albert Mangwea alietangulia Mbele ya haki.


Wadau.
Watu kutoka kila pembe ya jiji la Dar wakiwa uwanjani hapa kuupokea mwili wa Msanii wao.
Wanahabari wakitafakari jambo.
Wakiwa wamejipanga tayari kwa kuubeba mwili wa Marehemu Mangwea.
Mkurugenzi wa Zizzou Fashion,Othman Tippo (kushoto) akizungumza na mmoja wa wadau waliofika uwanjani hapo.
Wasanii mbali mbali waliofika uwanjani hapo.
Madee akimzungumzia Marehemu Mangwea.

 Mamia ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwemo wasanii wa muziki na filamu nchini leo wamejitokeza kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere uliowasili kutoka nchini Afrika Kusini.
DSC00241
DSC00243 Wasanii Dollo na KR Mulla
Bongo5 imeshuhudia umati mkubwa wa mashabiki wa Mangwea aliyefariki wiki iliyopita nchini humo uliokuwa na hamu kubwa ya kushuhudia jeneza lililokuwa na mwili wake.
Baadhi ya vijana waliokuwa wakiiimba kwa sauti waliizingira gari iliyokuwa na mwili na kutaka walibebe jeneza kwa mkono na hivyo kuufanya msafara uliokuwa ukielekea kwenye hospitali ya Muhimbili usimame kwa muda bila kusogea.
DSC00246 Umati wa watu ukisubiri kuona gari lililobeba mwili wa Mangwea
DSC00247
DSC00248
DSC00249
DSC00250
DSC00251
DSC00255 Vijana wakiimba nyimbo za kuomboleza
DSC00256
Vijana hao ambao wengine walionekana wakilia kwa uchungu wamesikika wakiimba ‘Tumshushe, Tumbebe’.
Hali hiyo imepelekea kuzuka kwa vurugu iliyowapa wakati mgumu polisi waliosambazwa kuangalia hali ya usalama.
Wasanii mbalimbali wameonekana wakipokezana kubeba msalaba kuliongoza gari lililobeba mwili baada ya wananchi kuwataka washuke kwenye magari.
Mtangazaji wa Times FM, JABIR SALEH Ametweet: P funk ameamua kukimbia na kutembea na wana ili folen iende!!!much lov kwa p anakimbia hadi anatia huruma!”
DSC00258
DSC00259
DSC00260
DSC00261
DSC00262
DSC00263
IMG_1498
IMG_1499 Umati mkubwa kwenye uwanja wa ndege
IMG_1501
IMG_1502
Mkoloni na Profesa Ludigo

IMG_1503
Fid Q alikuwa mmoja ya wasanii waliojitokeza

IMG_1504
Hafsa Kazinja na Quick Rocka wakiwa na simanzi

IMG_1505
Chege

IMG_1506
IMG_1507
Abdul Kiba, Hafsa Kazinja na Sauda Mwilima

IMG_1508
Izzo B akiwe mwenye majonzi makubwa

IMG_1509
Mrisho Mpoto

IMG_1510
Young Killa

IMG_1511
Mwili wa Mangwea ukiwa umebebwa

IMG_1512
IMG_1513
IMG_1514
IMG_1517
IMG_1524
IMG_1525
IMG_1529
IMG_1530
Shabiki wa Mangwea akilia kwa uchungu

IMG_1531
IMG_1533
Ni majonzi tu

IMG_1534
IMG_1536