Blogger Widgets

February 6, 2014

Picha za Shilole akiwa Kitandani akiwa na Khanga Moko Basi Yazua UtataSTAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’  ameamua  kuachia  picha  adimu  akiwa  kitandani  na  kanga  moja  tu  bila  chochote  kama  ishara  ya  kuwashukuru  mashabiki  wake  kwa  sapoti  kubwa  ambayo  wamekuwa  wakimpa  na  kumfanya  awe  juu  kimuziki…