Blogger Widgets

January 7, 2013

Huyu ndio Sonko Mbunge wa Kenya alieingia Tena Bungeni na Style Nyingine ya Nywele Bungeni

Mike Sonko Mbunge wa Makadara Nchini Kenya mwenye Muonekano tofauti na viongozi wengine alionekana na style tofauti ya nywele kichwani wiki iliyopita.Style hii ya Mini-Mohawk iliandikwa Peace yani Amani. Ni rafiki wa karibu sana wa msanii Jaguar.
Unasemaje kuhusu hili? Andika maoni yako hapo chini.