Blogger Widgets

September 5, 2013

Huyu Ndio Mwanamke aliyeibuka na Kutangaza Rasmi Kama Mke wa Hussein Machozi kwa Ushahidi wa Picha Hizi


Hus-1

Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye (August 28) amefunga pingu za maisha kimya kimya na Shu Yunus Omar raia wa Kenya.
Hussein-4


Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa huyo kutoka Manyoni, Singida. hhh
h1  
Hizi ni baadhi ya picha za chaguo la Machozi
Hus-1


hus-2
hus-3 hus-4 hussein Hussein-2 
  Addicted Hit maker pia ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zakia. Hongera sana Hussein kwa kupiga hatua hiyo kubwa katika maisha