Blogger Widgets

September 12, 2013

Mtoto wa H Baba na Frola Mvungi Kuwa Gumzo Anaitwa Tanzanite

Msanii H.BABA apata mtoto wa kike na amempa jina la #Tanzanite mtoto huyu amezaliwa katika hosp ya #MariaStope iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam