Blogger Widgets

March 5, 2014

Soma Jinsi Joh Makini anavyowachanganya watu kuhusu Msanii Lord Iyez

Weusi
Rapper wa kundi la Weusi Joh Makini ametumia ukurasa wake wa Facebook kuandika kwamba kundi hilo halijamtenga wala kumfukuza mwanachama mwenzao Lord Eyez ambaye anatuhumiwa kuiba Laptop ya watu na ana kesi inayoendelea polisi.
lord eyez copy