Blogger Widgets

May 31, 2013

Baadhi ya Picha za Maandalizi ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea Yaliyokuwa Yanaendelea Toka Jana Huko Mbezi 

 
 
 
 
 

MAOMBOLEZO ya msiba wa aliyekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, marehemu Albert Mangwea, yameanza  nyumbanmi kwa baba yake mdogo, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambako jana jioni ndugu, jamaa na majirani walikutwa wakiwa katika matayarisho ya kuupokea mwili wa marehemu.
From:FreeBongo