Blogger Widgets

May 31, 2013

Inajulikana Kwamba Kifo cha Albert Mangwea Kilitokea Siku Moja na Kifo cha Mama Yake Dude Msanii wa Bongo Movie,Check Wasanii wa Bongo Movie Walivyoshirikiana na Dude Msibani


 Rais wa taff mwakifamba akiongea na wabongo moviez waliofika katika  msiba huo jana,
  Dude akitoa shukrani zake za dhati kwa wasanii wa bongo movies walioudhuria katika msiba wa mama yake mzazi.mungu alaze roho ya marehemu mama yake mzazi na dude.amin

  Luten kalama,director matola na baga

 Dude akiwa na snura
Dude akiwa na directo matola