Blogger Widgets

May 31, 2013

Muangalie M to The P akiwa Kalala Kitandani na Sikiliza Interview aliyofanya na Millard Ayo Huko South Africa




                    
Leo hii, Millard ameingia wodi aliyolazwa M2thep na kuongea nae, ambapo amesema anajiskia vizuri lakini kifua ndio kinamuuma na kichwa ila anadhani akiendelea kunywa dawa siku mbili tatu atakuwa katika hali nzuri.
kati mazungumzo hayo, M2theP pia alimuulizia Ngwea, ambapo walimjibu ameshatangulia Tanzania.

msikilize millard hapa chini

From:Clouds Media

No comments:

Post a Comment