Blogger Widgets

May 31, 2013

Picha Mbalimbali Zikimuonesha T.I.D Akiongea kwa Hisia Juu ya Kifo cha Albert Mangwea Leo Asubuhi Ndani ya Clouds Fm.Pia Alikuwepo Shulole na Kaka Wa Marehemu

 
T
T.I.D Akiwa ndani ya Power Breakfast Ijumaa 31/5/2013 akipiga story na Barbara Hassan
 
Msanii wa filamu Kajala akiwa ndani ya Leo Tena na Dina Marios.

 
Huyu ni kaka wa marehemu Albert Mangwea msanii Bongo Flava "Ngwair" aliyefariki siku ya Jumanne 28/5/2013 huko Afrika Kusini, kilichosababisha kifo chake bado ripoti haijatolewa. Mwili wa marehemu Ngwair unategemewa kuwasili hapa Tanzania siku ya Jumamosi. Kwa taarifa zaidi endelea kusikiliza Clouds
From:Clouds Media