Blogger Widgets

May 31, 2013

Picha Zikimuonesha Msanii Jose Cameleone Alivyotembelea na Kuweka Mashada kwenye Kaburi la Bruce Lee...


Mwanamuziki  kutoka nchini UGANDA ambaye anafanya vizuri katika ukand wa africa ya Mashariki na Africa kwa Ujumla ,Jose Chameleone ambae kwa sasa anatamba na hii ngoma zake mbalimbali,hatimae atembelea kaburi la mkali wa Karate, Bruce Lee...
Jose ambaye anatamba sana na kibao chake Badilisha kibao ambacho kimebeba jina  Album yake mpya alioizindua mwezi uliopita hivi sasa yuko Nchini Marekani katika ziara yake ya kimuziki  'BADILISHA TOUR,  Chamillione akiwa Nchini humo alipata nafasi ya kwenda kutembelea kaburi la marehemu Bruce Lee …

Bruce Lee alikuwa muanzilishi wa mchezo wa Karate Duniani kote ambae alizaliwa miaka ya 1940 November na kufariki 1973 July …
From:PRO24