Blogger Widgets

September 21, 2012

Hii Ndio Picture AMBER ROSE aliyotupia kwenye Twitter akionesha mimba yake akiwa kavaa Nguo ya ndani

 



Amber rose hivi mapema ametupia picha kwenye mtandao wa twitter ikionesha ujauzito wake aliopewa na mchumba wake Wiz khalifah
Amber ambae alikuwa katupia chupi ya pinki iliofunika tatoo yake kwa chati na kiblauzi kilichoyabili matiti yake  kwa nadranadra ,,
amber ameonekana mwenye furaha sana baada ya kupata ujauzito huo ambao umemuweka karibu zaidi na mchumba wake  Wiz.

No comments:

Post a Comment