Blogger Widgets

April 11, 2013

HUYU HAPA MWANDISHI ALIYEPOTEZA UHAI WAKE BAADA YA KUPATA AJALI KWENYE MSAFARA WA DC WA HANDENI, MUHINGO RWEYEMAMU

Marehemu Hussein Semdoe akiwa kazini. Picha hii ilipigwa mwishoni mwa wiki Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu akiwa kwenye kazi za kijamii Kwedikabu, Kwamsisi mwishoni mwa mwaka jana. Mwenye Kamera ni marehemu Semdoe.
 
...... Endelea kuwa nasi  tutakuletea habari na picha zaidi za tukio hilo la kuhuzunisha ......