Blogger Widgets

November 12, 2013

PICHA MBALI MBALI:Msichana Ambaye Kasadikiwa Kuwa ndio Mrembo Afrika Magharibi Yote


 


Jarida la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi.

Juliet ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na nyingine nyingi.

Mtandao wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii lakini mwandishi ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the most beautiful woman in Ghana?”







No comments:

Post a Comment