Blogger Widgets

October 28, 2013

Ray Kigosi Azungumzia Kuhusu Harusi Yake

 Muigizazji maarufu Swahiliwood Vicent Kigosi(Ray) amesema kuwa anafurahia maisha ya ubachela na wala hafikirii kuoa hivi karibu tofauti na baadhi ya mastaa wenzake ambao hukimbilia kuoa. Akizungumza na Globalpulishers Ray alisema "Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado sijakipatia majibu"
                                             Ray