Blogger Widgets

May 16, 2013

Jinsi FundiSelemala Alivyofumaniwa na Kutaka Kuvunja Ndoa ya Watu


    Habari wana 

    Kisa
    Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18.

    Wakati fundi anaendelea na kazi kumbe mmeo huyu dada alishafika. hakutaka kumjulisha mkeo, kwa nia nzuri tu ya kumfanyia suprise, kwani alikuja na mazaga zaga kibao. Hiyo aliingia kwa kunyatia hadi kwenye mlango wa chumbani kwao. Ghafla akasikia mazungumzo ya mkeo na fundi ndani. Mazungumzo yalikuwaje? fuatilia hapa chini

    Mama X: Fanya haraka mme wangu amekaribia
    Fundi: Nakaribia kumaliza, nisaidie kuchomeka vizuri upande wako (akikusudia chaga)
    Mama X: Mbona haiingii
    Fundi: Ingiza kwa upande upande
    Mama X: Sukuma kwa nguvu
    Fundi: Angalia usiumie
    Mama X: Hamna shida imeingia



    Wakati jamaa akiendelea kusikiliza mlangoni, fundi akaweza godoro juu ya kitanda na mama x akajitupa kitandani kujaribu kama kimetengamaa. mara chaga akachomoka na kuanguaka chini. Nini kilifuata

    Mama x: Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiii(miguno) "my God, mbona hivi"
    Fundi : Pole sana
    Mama X: sasa?
    Fundi: Ngoja nichomeke tena
    Mama X: Yaan wewe, utaacha mme wangu afike hatujamaliza
    Fundi: Usijali namaliza sasa hivi

New Swagg!!! Kutoka kwa Jacklyne Wolper!!Ndani La Vazi La Kitenge.

University Lens: Baadhi Ya Picha za Ajabu za Mwanafunzi wa Kike wa Chuo Kikuu cha CBE zilizosambaa Baada ya Kusadikiwa Kuchanganya Mabwana

Hizi ni baadhi ya picha za wanafunzi wa chuo cha biashara CBE Dodoma ambazo zipo mtaani zimevuja baada ya kuchanganya ma bwana mapedeshee wa zaidi ya mmoja katika sehemu tofau tofauti kati kati ya mji wa Dodoma
 Pia chanzo cheti cha habari kilishindwa kuwataja hao mapedeshe kwa kuwa watu maarufu

Pitia Hapa Ukweli Juu ya Linah na Barnaba Kufukuzwa THT

Msanii Linah 
Barnaba
Na  Andrew Chale
KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’  huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba  mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo taarifa za kutimuliwa na uongozi wa juu. 
Kwa mujibu wa vyanzo kutoka kwa mtu wa karibu wa Linah kilieleza kuwa mpaka sasa msanii huyo hana raha na wala hajui ataanza vipi katika harakati zake za kimuziki hasa kufuatia hivi karibuni kukacha shoo ya nguli Lady Jay Dee kwa shinikizo kutoka kwa wakubwa zake. 
Hata hivyo, Linah inadaiwa uongozi wa juu umekaa kikao na hatua iliyofuatia kwenye kikao hicho ni kuwaondoa kabisa kwani huenda wakatia doa wasanii wenzao ndani ya kundi hilo.
“Juzi Lina,haikuwa kawaida yake maana hata alipopigiwa simu na ** kwa ajili ya hatua zingine alionekana kuw na hofu, na wala hakutaka kusikia ushauri wangu ambao nilikuwa nikimhusia kuwa aachane na mawazo hayo kwani jambo analoliwaza huenda likaisha na hata maamuzi yatakayotoka yatakuwa ni kawaida” kilieleza chanzo kutoka kwa mtu wakaribu wa Lina, amabaye hata hivyo alisema kuwa huenda ukweli wa jambo ukawa hadharani.
Hata hivyo taarifa za ndani za uongozi wa THT zilibainisha kuwa mpango wao wa kuwashughulikia wasanii hao upo pale pale na taratibu zinafuata ili zisilete madhara kwa wasanii waliopo ndani ya THT  na watu wa karibu wanaoiunga THT..Endelea kupitia Mtandao Huu.“Wewe nani kakwambia kama tumewaadhibu Lina na Barnaba?, ndio kwanza tunakusikia wewe hizo taarifa,  sisi tunafanya mambo yetu wao waache wafanye yao tukiwa nao sie na tunao uwezo wa kuwatimua ilikulinda hadhi ya THT” Kilieleza chanzo hicho ambacho hata hivyo kutokana na usalama wa jina lake tumelihifadhi. Ambapo namba yake inaishia na**08.
Aidha, katika ‘ku-balance’ huondo kamili wa habari hizi wasanii hao wote walipotafutwa kwenye simu zao za mkononi lakini hawakuweza kuwa hewani kwa muda mrefu.. na hata alipopigiwa mtu wao huyo wa karibu naye alizima simu.

Soma Lawama za Master J Jinsi Tuzo za Kill Music Award zinavyowadhalilisha Malegendary Kama Yeye



MTAYARISHAJI nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joachim Kimario 'Master Jay' amesema amekosa imani na Tuzo za Kilimanjaro Music, kwa kuwa zinalengo la kuwadhalilisha baadhi ya wasanii.


Master jay amekosa imani kumetokana na Kamati ya Kilimanjaro Academia ambayo imepewajukumu la kuchagua wasanii kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho kukosa sifa.


Akizungumza Dar es Salaam juzi, Master Jay alisema tatizo linaanzia kwenye kamati hiyo kuchagua wasanii waliokosa sifa na vigezo, huku ikiwa haiko wazi kwa wadau pamoja na wasanii ambao ni washiriki wa tuzo hizo.


Alisema watu waliochaguliwa kwenye kamati hiyo, wamekosa uelewa wa muziki na ndiyo maana wanachagua baadhi ya wasanii waliokosa ubora na kusababisha kupoteza imani ya tuzo hizo kwa jamii nzima.


Mtayarishaji huyo alisema ndiyo maana baadhi ya wasanii wanajitoa kwenye kinyang'anyiro hicho kwa kuogopa kujidhalilika.


"Sijui ni akina nani wanaounda kamati hiyo kwani imepoteza sifa na ndipo tatizo linapoanzia hapo kila mwaka, kukosa uelewa kwenye kamati hiyo na kutokuwa na uwazi kunachangia malalamiko ya kila siku kwa baadhi ya wadau wa muziki.


"Baadhi ya wasanii wanalalamika sana kuhusu tuzo hizi na ndiyo maana wengi wanajitoa, si kwamba wanajitoa kwa kuogopa kushindana hapana bali kudhailika kwani hizi tuzo sasa zinadhalilisha baadhi ya wasanii," alisema Master Jay


Hata hivyo aliwapongeza kwa kuongeza vipengele vingine kwenye tuzo hizo, ambapo mwaka jana kulikuwa na vipengere 29 na sasa vimeongezwa na kuwa 32.


Prezoo amuaabisha Loveness Love wa Clouds Fm,Kwa Tweet Yake ya Leo


IMG_0740
Waliokuwa hawamfahamu Diva sasa wanamfahamu ‘like that girl next their doors’ kupitia Prezzo.
Prezzo anafahamu thamani yake na anasema kila kitu anachokigusa hugeuka dhahabu. Akijibu tweet ya mtu aitwaye Alvin Wandat, isemayo, “So apparently,dating @AMB_Prezzo gets you booked for interviews all over africa,dude,you must be loving the moment,”

Unalijua Hili Kuhusu Huyu Demu anayewakilisha Kundi la Camp Mulla Babyy!!!

Miss Karun


Habari zilizosambaa katika mitaa ya area code +254 zinadai kuwa kundi la hip hop lenye mafanikio makubwa nchini Kenya, Camp Mulla limempiga chini first lady na lead singer wa kundi hilo, Miss Karun.
Kwa mujibu wa maneno ya mtaa inasemekana nafasi ya Miss Karun itachukuliwa na mrembo mwingine aitwaye Tiri, ambaye ni mpenzi wa member na producer wa kundi hilo K’cous.
Siku chache zilizopita kulizuka uvumi wa uwezekano wa members wa kundi hilo kuendelea na solo projects kwa kila mmoja wao ifikapo mwezi June 2013, kitu ambacho kinafanya tetesi za Miss Karun kuondolewa kundini kuchukuliwa kama dalili za kuvunjika kwa kundi hilo.

Picha Mbalinali zikimuonesha Msani CP akisaini Mkataba Kabambe wa kampuni ya Heineken Tanzania

Msanii maarufu wa kimataifa wa muziki wa kizazi kipya Cpwaa ateuliwa na kampuni ya bia Heineken Tanzania kusimamia michuano ya mpira wa mezani (Foosball) pamoja na kutangaza na kuhamasisha mchezo huo wakati wa mashindano ambayo ni endelevu. Mpango huo ulikamilishwa kati ya kampuni ya Brainstormmusic & Media Co. Ltd na Heineken Tanzania Limited.



Cpwaa, msanii maarufu na wakimataifa wa Bongoflava akisaini mkataba wa kuteuliwa kuwa msimamizi na MC wa michuano ya mpira wa mezani (Foosball) nchini Tanzania, pamoja naye ni Caroline Kakwezi meneja masoko wa Heineken Tanzania na Uche Unigwe Mkurugenzi wa Heineken Tanzania



Happy Birthday AD Plus,Baba la Baba,Adam Mchomvu,The People Poor Presdent,Hiki Ndio Kitakacho Happen Kwenye XXL BABY!!!

941722_10151432613846139_386016264_n


Mtangazaji wa vipindi vya XXL na Bongo Flava vya Clouds FM na rapper, Adam Mchomvu leo anatarajia kuachia mixtape yake aliyoipa jina, Baba Jonii Vol 1.
Adam ameichagua siku hii kwaajili ya kuzindua mixtape yake kwakuwa ni siku yake ya kuzaliwa.
“Kiukweli kabisa sio kwa maujanja yangu nimeweza kupenya na kufika mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wa Mungu na upendo wa family, marafiki, ndugu zangu na nyie wote kwa ujumla kila mmoja kwa nafasi yake ameniwezesha mimi kuwa mimi na kuwa hapa nilipo,” ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Check Out:Barua Iliyoandikwa Na Beyonce kwa mkono kuomba radhi kwa kuahirisha show ya kwanza katika maisha yake


tumblr_mmtnbfsSiA1rqgjz2o1_1280

BEYONCE amelazimika kuandika barua kwa mkono kuwaomba radhi mashabiki wake Ubelgiji baada ya kuahirisha show yake ya juzi.Muimbaji huyo aliahirisha show yake ya Antwerp iliyo sehemu ya ziara yake ya dunia ya Mrs Carter kutokana na uchovu na

Picha za Warembo Miss Utalii walivyovua Viatu na Kuanza Kufanya Yao Club.SHIKAMOO PESA










Tukio lilimake Head Line Leo ni Hili la Charz Baba Kumvisha Pete Mpezi wake Liveee.

Charles Gabriel ‘Chaz Baba,’ akimvisha pete mchumba’ke, Rehema Sospeter.
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba,’ juzikati aliendeleza harakati za maandalizi ya ndoa kwa mashabiki wake baada ya kumvisha pete jukwaani mchumba’ke, Rehema Sospeter. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Amani lilijiri Mei 11, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Business Park, Kijitonyama, Dar, wakati bendi yake ilipokuwa ikitambulisha albam mpya, Risasi Kidole.
Akizungumza na paparazi wetu mapema wiki hii, Chaz Baba alisema ameamua kuonesha uamuzi wake huo kuanzia kwa mashabiki wake waliofika ukumbini na kwa wale wasiofika kwa sababu wengi wao walikuwa hawamuamini.

MAKUBWA:Mcheck Video queen aliyetoa Kilio na Kudai Kalogwa na Jack wa Chuzi Baada ya Kuugua Malaria kwa Muda Mrefu

VIDEO Queen wa Bongo Fleva, Mimah Mohammed  ‘Baby Candy’ ameibuka na kueleza namna ambavyo aliugua malaria kali hadi kudaiwa kuwa amerogwa na shosti wake, Jacqueline Pentzel.

Chanzo makini kililiambia Amani kuwa hivi karibuni nyota huyo alichanganyikiwa kwani majini huwa yanampanda kichwani mara kwa mara huku Jack  akidaiwa kuwa ndiyo chanzo cha matatizo hayo.

“Amewehuka kabisa, ukimuona utamuonea huruma na Jack ndiye anayedaiwa kumroga,” kilisema chanzo.
Baada ya habari hiyo kuvuja, paparazi wetu alimtafuta Baby Candy ambaye alikiri kuumwa pamoja kupata taarifa za uvumi kwamba Jack anahusika lakini yeye anamshukuru Mungu kwani ameshatibiwa hospitalini.

Picha za Utata za Model wa Kenya aliyeingia Kenye Skendo ya Kumgombania CMB PREZO na Loveness Love



This is a New photo
Hivi karibuni Huddah Monroe wa Kenya ametokea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania hasa kutokana na vita yake ya Jumapili iliyopita na Diva juu ya Prezzo. Huddah aka Thee Boss Lady anajulikana kwa picha zake nyingi za utata na maisha yake hayo controversial yamemfanya awe model wa Kenya

Aunt Lulu Aja na Mpya ni Aibu

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amepigwa ‘stop’ kutembea na marafiki wanaodaiwa kuwa ni wanaume wenye vitendo vya kike ‘Kuku Watamu’.

Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema baada ya kuandamwa na maneno juu ukaribu wake na wanaume hao, mama yake mzazi na mpenzi wake wa sasa ambaye hakutaka kumtaja, wamemzuia ‘kumpiga stop’ kumuona na watu hao.

Magazeti ya Leo ALHAMISI 16.05.2013







DSC 0198 b6684

DSC 0203 33ab2
DSC 0201 6a9fe
DSC 0199 c9faa