Blogger Widgets

May 31, 2013

Kwa Hii Style aliyotupia Jokate Kidoti Anadai Unaweza Kumuita "The Bantu Jokate Mwegelo"

Let yours eyes be the witness of this Bantu creation

Baadhi Ya Vipande Vya Picha ya Video Mpya Ya Mshiriki wa Big Brother Kutoka K Tanzania "FEZA KESSY"


The most anticipated Music Video Starring Feza Kessy "AMANI YA MOYO" is Finaly Ready.... lets all hope it drops next

Ratiba Mpya Kabisa Iliyobadilika Muda Huu Kwa Kupokea Mwili Wa Marehemu Albert Mangwea.KESHO NDIO MWILI UNAFIKA


RATIBA YA MSIBA WA ALBERT MANGWEHA

Tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa watanzania wenzetu kwa ushirikiano wenu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa ndugu yetu Albert Mangweha kilichotokea Afrika Kusini.
- Katika kufanikisha msiba na mazishi ya ndugu yetu mpendwa tunapenda kuchukua nafasi hii kukaribisha wizara husika, mashirika, makampuni na watu binafsi kutoa michango yenu kupitia mitandao ya simu zifuatazo :
- Kwa watumiaji wa mtandao Tigo, Nenda kwenye kutoa pesa toa kiasi unachotaka kuchangia , kisha andika namba ya wakala 00001 ,ambapo litatokea jina la Mangwair Contribution hapo utakuwa tayari umechangia.

-Tigo: Namna ya kuchangia, Nenda kwenye kutoa pesa , andika namba ya wakala ambayo ni 00001, chagua kiasi unachotaka kuchangia, Jina litakalokuja ni Mangwair Contribution baada ya hapo utakuwa umechangia.
-

Request Nyingi za Watu ni Kuiona Hii Video ya Marehemu Albert Mangwea Akiwa na Izzo Bussnes na Quick Rack Ndani ya XXL Wakitambulisha Ngoma ya "BALL PLAYER"

Video:We Angalia Tuu Mwenyewe Jinsi Hii Video Ilivyovuja Leo Kwa Hawa Washiriki wa Big Brother Walichokuwa Wanakifanya Bafuni wakati wakioga

Hii ni video inayoonesha  uchafu  unaotendeka  ndani ya jumba la Big Brother Africa....
 
Nashindwa  kuusimulia, ila jionee mwenywe  katika  video  hiyo.....

Muangalie M to The P akiwa Kalala Kitandani na Sikiliza Interview aliyofanya na Millard Ayo Huko South Africa




                    
Leo hii, Millard ameingia wodi aliyolazwa M2thep na kuongea nae, ambapo amesema anajiskia vizuri lakini kifua ndio kinamuuma na kichwa ila anadhani akiendelea kunywa dawa siku mbili tatu atakuwa katika hali nzuri.
kati mazungumzo hayo, M2theP pia alimuulizia Ngwea, ambapo walimjibu ameshatangulia Tanzania.

msikilize millard hapa chini

Picha Mbalimbali Zikimuonesha T.I.D Akiongea kwa Hisia Juu ya Kifo cha Albert Mangwea Leo Asubuhi Ndani ya Clouds Fm.Pia Alikuwepo Shulole na Kaka Wa Marehemu

 
T
T.I.D Akiwa ndani ya Power Breakfast Ijumaa 31/5/2013 akipiga story na Barbara Hassan

Exclusive:Mshiriki wa Big Brother Africa Kutoka Zimbabwe Aingia Kwenye Kashfa Baada ya Kusambaa kwa Picha Zake Hizi za Ngono

  

Mshiriki wa Big Brother Africa Chase Kutoka Nchini Zimbabwe  Ameingia Kwenye Kafsha Nzito ya Kurecord Video ya Ngono na Aliyekuwa Mpenzi Wake Desmond Chedeme a.k.a Stunner na kusababisha Kuzagaa kwa Picha Hizi Mtandaoni.Hivi Sasa Nchini Kwao Wanafanya Mikakati ya Kumpigi Kura Ili wamg'oe na Kumtoa Kwenye Kinyang'anyiro Hicho Cha Big Brother.Tukiileta Video Hiyo Utaona Jinsi Vituko Alivyokuwa Anavifanya Mshiriki Huyu Kwenye Hiyo Video ya Porn na Mwisho ya Video Stunner anaonekana Kunyonywa Lolpop na Mshiriki Huyu
HII SASA NDIO MAANA AKE NINI SASA?
 
One of the housemates representing Zimbabwe in the ongoing BBA – The Chase, Pokello Nare has been hit by a sèx tape scandal a few days after she entered the BBA house.

According to Peacefmonline.com investigations, the said sex tape was acted and recorded by Pokello and her boyfriend Desmond Chideme also known as Stunner who is popular urban grooves artiste.

Stunner is famous for his role in a leaked sex tape in which he had sex with his socialite girlfriend Pokello Nare. In the video, he is seen having sex without protection with the girl that he is not married to. The ‘Godo’ hit maker also went public as he got circumcised in a bid to promote education on HIV/AIDS and how to prevent the Aids scourge.


Baadhi ya Picha za Maandalizi ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea Yaliyokuwa Yanaendelea Toka Jana Huko Mbezi



 

 
 
 

Hapa Ndipo Agness Masogange Anapopata Wakati Mguu Akipambanishwa na Hawa Watoto Wakali Kutoka Kenya na Uganda

Inawezekana umeshakutana na wasichana warembo sana zaidi ya hawa, lakini leo hebu tuwatazame hawa watatu wanaowakilisha nchi tatu za Africa Mashariki yaani Kenya, Tanzania na Uganda. Leo hatuangalii nani ana pesa ngapi katika bank account yake, wala anamiliki nini, tunaangalia kitu kimoja tu, yupi ni hot zaidi ya wenzake??
Hawa ni kati ya wasichana warembo na maarufu East Africa (bila ubishi) hususan kila mmoja katika nchi anakotoka kutokana na kuwa kwenye spotlight.
vera S-1                                          
Tukianza na Vera Sidika anafahamika pia kama Vee S Beiby, ni mwanafunzi, model, na mjasiriamali. Vera ameshawahi kushiriki katika video za wanamuziki wakubwa Kenya akiwemo Prezzo na kundi la P-Unit kupitia wimbo wao wa ‘You Guy’ alitokea kama video model.
Vera S-2
vera sidika 2
Vera-Sikida-1
Vera-6
Kutoka Tanzania ni Agnes Gerald ambaye amepata a.k.a ya Agnes Masogange kutokana na kushiriki katika video ya wimbo ‘Masogange’ ya msanii wa R&B Belle 9 ambayo ilimuongezea umaarufu mara dufu, ameshatokea pia katika video nyingine kadhaa hapa Tanzania. Agnes ni model.
Agnes-7
agnesss
agnes-6
Agnes-9
Agnes-1
Kutoka Uganda here is the sexy boss lady Zari Hussein, huyu ni mwanamke mrembo ambaye baba yake ni mchanganyiko wa Burundi na Somalia, na mama yake ni mchanganyiko wa India na Mutaaro. Zari ni ufupisho wa jina lake kamili Zarinah Zaitun Hussein. Mrembo huyu ni mwanamuziki japo hajapata mafanikio makubwa sana kupitia muziki.
zari

Breaking News:Check Hapa Matokeo ya Form Six Yaliyotoka Sasa Hivi

 Copy Hizi Link na Paste kwenye Tab Ili Uone Live

 http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htm
 http://www.necta.go.tz/

Picha Zikimuonesha Msanii Jose Cameleone Alivyotembelea na Kuweka Mashada kwenye Kaburi la Bruce Lee...


Mwanamuziki  kutoka nchini UGANDA ambaye anafanya vizuri katika ukand wa africa ya Mashariki na Africa kwa Ujumla ,Jose Chameleone ambae kwa sasa anatamba na hii ngoma zake mbalimbali,hatimae atembelea kaburi la mkali wa Karate, Bruce Lee...
Jose ambaye anatamba sana na kibao chake Badilisha kibao ambacho kimebeba jina  Album yake mpya alioizindua mwezi uliopita hivi sasa yuko Nchini Marekani katika ziara yake ya kimuziki  'BADILISHA TOUR,  Chamillione akiwa Nchini humo alipata nafasi ya kwenda kutembelea kaburi la marehemu Bruce Lee …

Breaking News:Mtu Mmoja Afariki Hapo Hapo Ilala Boma Baada ya Kuwa Anadandia Daladala Huku linaenda.CHECK PICHA MBALIMBALI

                         

Asubuhi hii ajali mbaya imetokea maeneo ya Ilala Boma na  kusababisha kifo cha abiria huyu ambaye hajatambulika kwa jina mpaka sasa baada ya abiria kutaka kudandia bahati mbaya akadondoka na kupasuka kichwa na kusababisha umauti wake
Wasamaria wema wakisaidia kumpakia kwenye gari kwa kumpeleka hospitalini
                
Damu ya marehemu ambayo kwa kiasi kikubwa imetoka kichwani baada  ya kupasuka vibaya
Mwili wa marehemu ukiwa tayari kuondolewa kwenda hospitali
               
Hii ndio daladala ambayo marehemu alikuwa akitaka kudandia na kudondoka kwa bahati mbaya
Umati wa watu ukishuhudia ajali maeneo ya Ilala Boma asubuhi hii

Magazeti Ya Leo,Siasa,Udaku na Michezo...Ijumaaa 31.05.2013




Inajulikana Kwamba Kifo cha Albert Mangwea Kilitokea Siku Moja na Kifo cha Mama Yake Dude Msanii wa Bongo Movie,Check Wasanii wa Bongo Movie Walivyoshirikiana na Dude Msibani






 Rais wa taff mwakifamba akiongea na wabongo moviez waliofika katika  msiba huo jana,
  Dude akitoa shukrani zake za dhati kwa wasanii wa bongo movies walioudhuria katika msiba wa mama yake mzazi.mungu alaze roho ya marehemu mama yake mzazi na dude.amin

  Luten kalama,director matola na baga