Blogger Widgets
Showing posts with label Swagg. Show all posts
Showing posts with label Swagg. Show all posts

June 2, 2014

Tazama Jinsi Nicki Minaj alivyotokea akiwa na kinguo kinachoonyesha maziwa yake, Rihanna akasirishwa na perfomance yake

 Hajawahi kuwa mmoja wa wanaoficha maungo yao kwa nguo  kubwa lakini alichovaa siku ya jana ilikuwa ni hataru tupu.

Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye  kuonyesha maziwa yake kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.

Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj alipomrukia Drake kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake na kumuwekea mikono mabegani  na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye kiuno cha Nicki,
 kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris Brown.

Tazam Picha zinazomake Headline za X-Girlfriend wake Davido

Huyu anaitwa Nish Kards, kutoka Ghana alikuwa mpenzi wa mwanamziki maarufu kutoka Nigeria, Davido, Kupitia ukurasa wake  INSTAGRAM, followers wake wamekuwa wakimfananisha na Kim Kardashian na kumuita The Ghana’s Kim Kardashian.....Hebu tumuone KOZ hata kajina  kiana kama la KIM..




May 24, 2014

Hebu Tazama Amazing Pichures za Pre-wedding dinner ya Kanye West na Kim Kardashian iliyofanyika jana Paris, ndoa kufungwa leo (May 24) Italy

Jana Ijumaa (May 23) Kanye West na Kim Kardashian waliianza ratiba yao kuelekea siku ya harusi ya mwaka inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa kufanya ‘pre-wedding dinner party’ huko Paris, Ufaransa huku ndoa yenyewe ikitarajiwa kufungwa leo.
kimye1
Maharusi wakiongea mbele ya wageni waalikwa

Jana mitaa ya Paris ilishuhudia pilikapilika za wageni na mapaparazi wakielekea eneo ilipofanyika sherehe ya chakula cha jioni kabla ya ndoa (pre-wedding dinner), iliyohudhuriwa na wageni wanaokadiriwa kufikia 100 wakiwemo dada zake Kim, Kourtney, Khloe, Kylie, Kendall na mama yake Kris Jenner na wageni wengine mbalimbali.
kimye3
Kim na ndugu zake

Usiku huo ulipambwa na burudani mbalimbali ikiwa ni pamoja na mwimbaji aitwaye Lana Del Rey.
kimye2
Kwa mujibu wa ripoti, fataki zilitawala eneo la tukio, huku ikisemekana anga la eneo hilo siku ya jana lilikuwa ‘NO-FLY ZONE’, hakuna ndege yoyote iliyokatiza.
.
Chupa 1,000 za champagne ziliandaliwa kwaajili ya wageni waalikwa waliohudhuria.

Kwa mujibu wa Entertainment Tonight, maharusi watarajiwa Kimye waliwatangazia wageni waalikwa kuwa ndoa yao itafungwa siku inayofuata yaani leo Jumamosi (May 24) huko Italy.
kimye5
kimye6-kanye akilinda mali yake
Kanye akilinda mali yake

kimye7

March 10, 2014

Huyu Ndio Cathie Jung mwenye miaka 77 na ndiye mwanamke na ndiye mwanamke aliyevunja record ya kuwa na kiuno chembamba zaidi Duniani


Mwanzoni nilikuwa natia shaka juu ya hili mpaka nilipokuja kuona kuwa naye yumo miongoni mwa watu kwenye kitabu maarufu cha kumbukumbu za Guinness world.


Cathie Jung ana miaka 77 na ndiye mwanamke mwenye kiuno chembamba zaidi Duniani. Hakika hii inashangaza kimtindo.

Cheki picha zaidi hapo chini...


March 6, 2014

Tazama Huyu Msanii wa Kike wa Bongomovie alivyopiga Picha za Kuwatega Wanaume na kuziruhusu kwenye mitandao..KISA?

Star wa filamu anayekimbiza sokoni kwasasa na filamu kibao Mariam Ismail ameonekana kuweka mapozi ya Ajabu katika picha zake mpya kama anavyoonekana hapo chini........


Soma Hapa na Angalia Picha:AIBU NYINGINE YA AMBER ROSE

amber 2
Kama wengi tunavyo fahamu Amber ni mke wa rapper Wiz Khalifa na sasa wana mtoto moja kwenye familia yao. Picha iliyosamba hivi karibuni inaonyesha mke wa
Wiz Khalifa, Amber Rose akishikwa visivyo na shabiki aliyetoka mbali kuja kumuona star huyo.
Kwa mujibu wa Amber shabiki huyu amendesha gari kwa saa 17 kuja kumuona Amber Rose.