Blogger Widgets
Showing posts with label Mapenzi. Show all posts
Showing posts with label Mapenzi. Show all posts

April 14, 2014

Baada ya Muda mrefu msanii Nazizi kutoka kenya na Producer Sappy kutoka Bongo Kukanusha kwamba sio wapenzi sasa Picha zimedhihirisha kuwa ni wapenzi

Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa Homeboyz Production ya Kenya, wawili hao wameendelea kuwa karibu kiasi cha kutoonesha ‘uhusiano wa msanii na producer’ wake kama walivyosema.
67c299a4af9411e3886b0e70ff76d02d_8
Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha producer huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
Like Step Father like Son - Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.
10011226_1419824444938758_199959497_n
Hawaachani

March 6, 2014

Shilole Aamua Sasa Kufunguka Juu ya Huyu Mpenzi wake aliyekuwa anamficha kwa Muda Mrefu


Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa. Akizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM leo,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana sana na wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. “Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke"alisema Nuh Mziwnda
 Nuhu Mziwanda akiwa na Shilole 
Ki kweli tuna kama miezi miwili mitatu na tunapendana kweli yeye ananipenda na mimi nampenda yeye yupo real kwangu na mimi nipo real kwake nilikuwa na girlfriend kipindi hicho tumeachana , tumegombana si unajua nimekaa kipindi kirefu bila ya kuwa na Girlfriend ,yaani mabo yalifanya tukaonana tukapendana hivyo
First time nakumbuka ilikuwa studio alikuja studio kijitonyama nilikuwa zangu natengeneza beat skeleton tukaongea mambo mengi ya kimaisha hatukua in deep sana kihivyo ila tulivyo endelea kujuana tukaona kila mtu kamzoea mwenzake mimi nikiwa mbali

Soma Sababu aliyoitoa Msanii Nazii wa Necessary Noice Mpaka Kufikia Kuachana na Mume wake

Nazizi wa Kenya aachana na mume wake baada ya miaka mitano ya ndoa !!!!
 Msanii wa kundi la Necessary Noise la Kenya Nazizi Hirji amethibitisha kutengana na mume wake baada ya ndoa yao kudumu kwa takribani miaka mitano.
Naziz

Nazizi, mumewe na mwanao
Nazizi alithibitisha juu ya taarifa hizo alipofanya mahojiano na Nairobi News na kuongeza kuwa hawezi kutoa taarifa zaidi lakini ni kweli ndoa yao imefikia ukingoni.

“Siwezi kutoa taarifa zaidi kuhusu hilo, lakini ninaweza kukuthibitishia kuwa ndoa imevunjika.” Alisema Nazizi.
Nazizi-2
Aliendelea kusema kuwa ilikuwa ni ngumu kwake kuishi Lamu yalikokuwa makazi ya familia yake na mumewe Mtanzania aitwaye Vinny, hivyo imemlazimu kurejea Nairobi ambako familia yake iliko.

January 30, 2014

Soman na Utambue Hapa Sifa Kumi za Mwanamke Asiyefaa Kwenye Ndoa

SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni kujiingiza kwenye matatizo.
Dhana hiyo haina mashiko kiviile, asikuambie mtu unapoingia kwenye ndoa na mtu anayekupenda na wewe unampenda kwa dhati, karaha hakuna licha ya kwamba kugombana kwa hapa na pale hakuwezi kukosekana. 

Hata hivyo, nikiri tu kwamba, zipo ndoa ambazo ni ndoano. Yaani unakuta mtu kaingia kwenye ndoa na mtu ambaye hakuwa amedhamiria, matokeo yake kadiri siku zinavyokwenda anahisi ameingia chaka na anaishia kuomba ndoa isiwepo. 

Leo nataka kuwazungumzia wanawake ambao ni majanga na ukijichanganya ukaingia nao kwenye maisha ya ndoa, utakiona cha mtemakuni. 

10. Asiyeridhika na penzi unalompa
Wapo wanawake ambao wewe unaweza kujitahidi kumpatia mapenzi kadiri unavyoweza lakini yeye hatosheki. Anakuchukulia wewe ni dhaifu sana na wakati mwingine kuhisi yupo mwingine anayeweza kumpa zaidi ya kile unachompa, huyu ni tatizo.
 

9. Wivu kupindukia
Hatukatai, wivu ni muhimu sana kwenye suala la mapenzi lakini kuna ule wivu uliopindukia kiasi cha kuwa kero. Walio kwenye ndoa wananielewa namaanisha nini.
Kwa kifupi mtu mwenye mapenzi ya dhati na mwenziye lazima awe na wivu lakini ukiwa na ule wa kupinduki ni tatizo linaloweza kuitibua ndoa.
 

8. Anaona unamsaliti kila mara
Huku kunatokana na kutokujiamini tu. Ukioa mwanamke ambaye kila wakati unapokuwa mbali naye anahisi unamsaliti, huyo hakuamini na kamwe hamuwezi kudumu. Mara kadhaa mtakuwa mkigombana akihisi una mwingine kumbe hakuna ukweli katika hilo.
 

January 11, 2014

Ray na Chuchu Hans Hamna Siri Tena

BAADA ya kuzagaa kwa fununu za chini ya kapeti kuwa mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi na Chuchu Hans kutarajia kufunga ndoa, wenzao wa Bongo Movie wameonesha hadharani kuwa wanaiunga mkono ndoa hiyo na kutoa baraka zao.

 
Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi la kimahaba.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi hivi karibuni katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar katika uchaguzi wa viongozi wa Klabu ya Bongo Movie ambapo Ray ambaye alikuwa mwenyekiti mstaafu wa klabu hiyo, aliambatana na ‘bebi’ wake huyo (Chuchu) na kupozi katika staili ya ‘mista na misezi’.
Bila kupepesa macho, kwa nyakati tofauti mastaa hao waliokuwa wakifuatilia uchaguzi huo, wa kiume walimuita Chuchu shemeji huku wa kike wakimuita Chuchu wifi ambapo bibie aliitikia bila hiyana.
“Tunajua kuwa Ray na Chuchu ni wapenzi na tuko tayari kushuhudia ndoa yao na tutatoa mchango wowote utakaohitajika kwa ajili ya kufanikisha harusi yao kwani wanaonekana kupendana, tangu nianze kuona uhusiano wa wasanii hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa na mapenzi ya dhati kama wanayoonesha Ray na Chuchu,” alisema mmoja wa wasanii aliyeomba hifadhi ya jina.
Staa mwingine mwenye ‘taito’ kubwa ndani ya Bongo Movies, kwa sharti la kutotaja jina lake alisikika akisema: “Ray na Chuchu wanaonyesha penzi lisilo na unafiki hata chembe, kama ilivyozoeleka kwa wasanii wengine na ndiyo maana leo utaona wanaenda sehemu zote wakiwa pamoja na wala hawajifichi kwa lolote lile.”

January 6, 2014

Soma Ukweli Juu ya Mapenzi ya Lucci na Jokate Kidoti


Sehemu ya video ya wimbo wa "dada kaka" iliyozua utata kuhusu mahusiano ya wawili hawa..
Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu. 

Lucci anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa kampuni yetu mimi na yeye inaitwa  Tsere. Kazi tunayofanya ni creative and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni” 
 Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’

November 17, 2013

Tazama Prezzo na Mpenzi wake "Starlisha Tillya" Mtanzania anaishi Marekani wanavyozidi Kuuza Sura kwa Mapenzi mwanana.MORE ATRACTIVE PICTURES

Batoto ya Kichaga Everyday is a Holiday.......


Baada ya Kazi mingi ni time ya kula kitu roho inapenda 




Hapana chezea bidada mimi unataka leage karibu ulingoni mwangu..............stress free lady hapo chacha kama unamamizigo kichwani hapana letea mimi go solve it on ur own time bidada!!!!!!! Hapa nlikuwa nshahesabu  midollar niliyoingiza kwa my business siku ya leo

November 5, 2013

MAPENZI MAPENZINI:tAZAMA Picha Mabalimbali Msanii Prezoo Akiwa Kwenye Pozi za Hatari na Mpenzi wake Mpya ni Yule Mtanzania Anayeishi Marekani..Bonge la Baby Mama

Kwa muda mrefu drama kuhusu warembo wanaomzunguka Rapcellency Prezzo zimepungua kwa kiasi kikubwa. Bila shaka unakumbuka kipindi kile penzi lake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva lilivyokorea kiasi cha mrembo huyo kujichora tattoo yenye jina la rapper huyo.
1234761_606502159390834_36048257_n
Prezzo akiwa na mpenzi wake mpya

Uhusiano huo ukazusha beef kati yake na aliyekuwa mmoja wa wawakilishi wa Big Brother Africa mwaka huu, Huddah Monroe lililopelekea vita vya maneno kwenye Twitter kati ya warembo hao. Na sasa Prezzo amepata mrembo mpya. Anaitwa Starlisha Tillya aka Chagga Barbie. Ni mchaga na anaishi nchini Marekani. Ni binamu yake yake na marehemu Vivian Tillya.
9624cb8445fc11e3a4fc22000a1fc7c7_8
14153_606501816057535_1224957935_n
Kwenye profile yake ya Instagram, mrembo huyo ameandika: Am His First Lady My Life My Choices…My Ways, My Mistakes My Lessons Not Ur Business!!!Team #Rapcellecy #254 #LimitedEditionChic #FirstLady #Prestar #CatMummy

971074_606502219390828_1146104483_n
1235268_606502406057476_568755110_n
Kitu kimoja wanafanana hawa wawili. Wote wana mkwanja

Picha zaidi za mrembo huyo
554525_599173436790373_1819909567_n
971019_585540611486989_2011481741_n

October 31, 2013

Baadhi ya Picha walizoweka Kwenye Mitandao Chris Brown na Karrueche Kuonesha Kwamba Mapenzi Moto Moto Bado Yapo


Aka kama hakuwa mahakamani na Chris Brown wakati anasomawe  mashtaka ya kupiga mtu hivi karibuni, Mpenzi wa muda mrefu wa Chris Brown, Karrueche anapenda ufahamu kuwa uvumi wa yeye na Chris Brown kuachana sio kweli na kwamba bado wapo pamoja. 


 Picha hizi alizosambaza Karrueche kwenye Instagram zinaonyesha ukaribu wake na Chris Brown Kwa sasa na jinsi mapenzi yalivyo kolea.

October 30, 2013

Itazame Sasa Pete Aliyovishwa CIARA na Msanii Mwenzake FUTURE Jinsi Ilivyo Kwa Karibu

Future ambaye kwa sasa ni Mkali wa Chorus za ngoma kali za rap huko  mtoni amemvalisha pete mpenzi wake wa zaidi ya mwaka moja. Picha Ziko Hapa



October 29, 2013

MIDA YA WATU WAZIMA:Yafahamu Sehemu 15 katika Mwili wa Mwaume Ambazo Zimejaa Hamu ya Kumfanya Ajisikia Kufanya Mapenzi Kila Mara Mnapokuwa Kitandani


Wanaume wamejaliwa Hisia za karibu sana,yaani kwao kupata Hamu ya kupeana Raha na Utamu ni Jambo rahisi sana tena kwa Haraka.Ingawa wanapata Hamu kwa urahisi,na hata kufika kileleni(orgasm) wanafika kwa urahisi,lakini unadhani wanaridhika kwa urahisi pia? Unadhani pale anapocum na kumwaga sperms ndio teyari umemfikisha? Jibu ni kwamba Mwanaume akicum akamwaga sperms,inamaanisha amefika kileleni(orgasm),na kitendo cha yeye kufika kileleni inamaanisha kwamba either HAMU yake imepungua au imemalizika(itategemea amecum kwenye round ya ngapi)


Lakini kumridhisha,kumfikisha,kumpagawisha na kumdatisha sio kitu rahisi especially kama hujui maeneo gani kwenye mwili wake yamejaa Hamu tena sana.

Kwanza Wanawake wengi wana utamaduni(tradition) wa 'kijinga' sana wakati wa kupeana Raha na Utamu(utanisamehe kama umefeel offended with the word 'kijinga')



 
Yaani wao shughuli yote wanamuachia Mwanaume,kazi yao ni kusikilizia na kuenjoy 'Utamu' tu,Hakuna kutoa support,Hakuna utundu au ujuzi wowote wanaoonyesha na Wengine hata kusema 'Pole' kila Baada ya Round kwao ni shida(as if wanaume ni marobot).  Wanawake wachache sana ndio utakuta wanastruggle on Bed kuwaridhisha Wanaume zao.(kuinama na kutanua miguu is nt enough(haitoshi) jamani,hata mende anaweza)

Baada ya 'makavu live' kufikisha message,sasa hebu tuone Hayo maeneo katika mwili wa Mwanaume ambayo yamejaa Hamu ya Kupata Raha na Utamu,

 

October 28, 2013

Ray Kigosi Azungumzia Kuhusu Harusi Yake

 Muigizazji maarufu Swahiliwood Vicent Kigosi(Ray) amesema kuwa anafurahia maisha ya ubachela na wala hafikirii kuoa hivi karibu tofauti na baadhi ya mastaa wenzake ambao hukimbilia kuoa. Akizungumza na Globalpulishers Ray alisema "Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado

DONDOO:Njia Pekee za Kumtoa Bikra Mwanamke Bila ya Kumsababishia Maumivu


Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake,kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience.


aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe.


Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani.


Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia(psychologically),kwani wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu)

October 23, 2013

Ile Shule inayotoa Mafunzo ya Ngono Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian International Séx School.HII HAPA

clip_image001[6]Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.
Kwenye kila darasa katika kila shule mara zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye huwa hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea kufunguliwa kwa milango ya chuo hicho kilichopo Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian International Séx School.

October 18, 2013

MIDA YA WAKUBWA WATOTO ICHUNIE HII HABARI:Wapenzi wameshauriwa Kujua Hizi Staili 40 za Kufanya Mapenzi."Graphics Pictures"

                 #1

 
 #2
sultry saddle
#3
The squat
#4
Face to face
#5Standing up
#6
Scissors

#7
Spider

#8
Woman on top

#9

Speed bump

#10

The manhandle her

Interview aliyoifanya Joketi Kidoti Akizungumzia Tofauti ya Mahusiano ya Kimapenzi Kari ya Diamond Platnum na Hashimu Thabeet


Jokate 123

Hii  ni  mara  ya  kwanza  kwa  Jokate  Mwegelo  kuongelea  mambo  ya  chumban...



Maongezi  hayo  yalifanyika  kati  yake  na   Millard  Ayo   ambaye  ni  mtangazaji   wa  Clouds  FM.Katika  maongezi  hayo, Jokate  naye ameeleza  jinsi  anavyosumbuliwa  kutongozwa  na  mamia  ya  wanaume  kwa  siku  



October 16, 2013

Soma Issue Inayoendelea Kati ya Chris Brown na Mcheza Movie za Porn Pinky

A rumor popped up several days ago that claimed Chris Brown was smashing adult film star Pinky. I'm not sure anyone actually believed the story, but Chris' people denied it just in case.
                             Pink.
“No, sorry. He doesn’t hook up with porn stars and he definitely isn’t about to take one around on his arm like that,” a source close to the singer told