Showing posts with label Comedy. Show all posts
Showing posts with label Comedy. Show all posts
June 15, 2013
May 26, 2013
Mkono wa sheria Umewageukia Wachekeshaji wa Ze Comedy Kwa Kupiga Hizi Picha kwa Kuwazalilisha

Picha za kundi la Ze Komedy linalorusha kipindi chake kupitia televisheni ya East Africa TV zinazowaonesha wasanii hao wakiwa na mabint ufukweni zimechukua sura mpya baada ya wanasheria kuahidi kuzisaidia familia za wazazi wa mabint hao.
Wakitoa maoni yao kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema" Nimeziona picha hizo kupitia mtandao wenu kweli imeniuma kama mzazi kwani huo ni unyanyasaji ambao haukubariki hata kidogo naziomba familia za mabinti hao kuchukuwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kushtaki ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wanaopenda kudhalilisha watu wengine kwa masrahi yao binafsi" Alisema Fortunatus Kasomfi ambae ni mtanzania anaeishi nchini Afrika Kusini
Aidha nae Hawamu Juma ambae ni mkazi wa Arusha maeneo ya Unga Limited ambae ni Mwanasheria maarufu Mkoani humo alioneshwa kusikitishwa sana na tukio na kuwashauri wazazi wa wasichana hao kumtafuta kwa ajili ya kuwafungulia mashtaka wasanii hao
" Napenda kuwashauri wazazi wa wabinti hao kama wanahitaji msaada wa kisheria wanitafute kupitia simu namba 0713-146416 nitawapa mawazo ya kitaalam ya kisheria ili wasanii hao wafikishwe mahakamani" Alisema Mwanasheria huyo
Taarifa za ndani ya chungu zinadai kuwa kulikuwa na ushawishwaji mkubwa kwa mabinti hao wakati wa kupigana picha hizo kwa madai kuwa watasaidiwa kuwa mastaa kama watapiga picha hizo na mastaa hao.

May 20, 2013
Baadhi ya Picha Zikimuonesha Drake Kwenye Movie ya Comedy Akiact Enzi za Miaka 70 na Wigi Lake Kichwani.
Rapper kutoka Canada Drake ataonekana katika movie ya comedy inayoitwa Anchorman 2 huku akiwa amepiga mavazi pamoja na wigi kubwa style zilizokuwa zikitumika miaka ya 70.
Comedy film ya Anchorman 2 inategemewa kutoka December 20, 2013
May 17, 2013
Picha Iliyozua Utata Siku Ya Leo Nigeria Ikimuonesha Msani Beyonce Akiwa Anapiga Show Kiti Huku Nanihino Inaonekana

The star was photographed with légs spread while she was performing on stage..
May 12, 2013
May 9, 2013
Hii Inaitwa "HATA TUKEFELI MATOKEO YATAFUTWA NA KUSAHISWA UPYA"
Kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya wanataaluma na wanasiasa kuhusu suala la elimu hapa nchini.....
Wanataaluma wengi wanapinga uamuzi
wa serikali kuyafuta matokeo ya kidato cha nne kwa madai
kwamba hilo siyo suluhisho la la tatizo ......
Wasomi hao wanadai kwamba hiyo ni
njia ya serikali kujisafisha kisiasa na kukwepa kujiuzulu kama
njia mojawapo ya kuwajibika....
Wakitoa maoni kwa nyakati tofauti, wanataaluma hao wanaamini kuwa, upungufu wa walimu, mgogoro ulipo baina ya serikali na walimu, nidhamu mbovu shuleni ( baada ya serikali kuzuia matumizi ya viboko), ukosefu wa vitabu na maktaba ndo vitu vya msingi ambavyo vimesababisha ubovu wa matokeo......
May 5, 2013
April 29, 2013
April 17, 2013
Cheka na Picha Ya Pamoja ya Ommy Dimpoz na Joti
Ommy Dimpoz Na Joti ... Mmoja ni msanii wa kuimba (Singer) na mwingine ni Msanii wa vichekesho (Comedian) ...
Weka Comment hapa chini ...
March 7, 2013
King Majuto Kutaja Wachawi wa Tasnia ya Uchakeshaji wa Tanzania
MCHEKESHAJI
nguli hapa nchini, Amri Athuman ‘King Majuto’ ameweka wazi kuwa,
wasambazaji wa kazi za sanaa wamechangia kwa kiasi kikubwa kuyumba kwa
soko la filamu za vichekesho.
King
Majuto aliyasema hayo jijini Dar es Salaam, katika mazungumzo maalum na
Saluti5 juu ya maoni aliyonayo kuhusiana na maendeleo ya filamu za
Komedi hapa nchini.
“Unajua,
unaweza kuandaa komedi yako kwa hata zaidi ya milioni 7, lakini
unapompelekea msambazaji anataka kuinunua kwa milioni 2,” alisema King
Majuto.
March 6, 2013
Picha za Dr. Cheni akiwa Tanga na Wachekeshaji wa VITUKO SHOW.Huku Masele Huku Masai Nyotambofu na Mamaa Leila Tot wa Breez Fm Radio
Dr.cheni na Masai Nyotambofu na Mtangazaji wa Breez Fm Radio Leila Tot
Dr.cheni na Masele Cha Pombe na Mtangazaji wa Breez Fm Radio Leila Tot
Dr.cheni Masele Cha Pombe wakiwa kwenye Pozi
Dr.cheni na Masai Nyotambofu
wakiwa kwenye Pozi
Dr.Chein alipata Muda wa Kuonana na Gwiji la Lugha Ya Kimasai East Africa Yote Gilliady Severine a.k.a Masai Nyotambofu Pamoja na Masele cha Pombe
March 5, 2013
March 3, 2013
Mchekeshaji na Gwiji la Lugha ya Kimasai "MASAI NYOTAMBOFU" akiwa ndani ya Interview Kali
Mchekeshaji maarufu Tanzania. Hapa mambo ndio yalianza kama kawaida katika kipindi cha ''The Super Star Show'' Ndani ya
Gilliady Severine ( Masai Nyotambofu ) Mchekeshaji kutoka Al-Riyamy Production anaetamba katika tasnia ya uchekeshaji kutoka kundi la BONGO SUPER STAR'S COMEDY wanaorusha kipindi chao cha VITUKO SHOW katika runinga ya CHARNEL TEN kipindi ambacho sasahivi ni gumzo hapa nchini, Leo saa nane
mchana alifanya mahojiano na Radio Breez ndani ya Tanga.
Msanii huyu alizungumzia maisha yake kwa ujumla pamoja na kazi zake kwa ujumla pia alizungumzia
kilichomvutia kuingia kwenye fani ya uchekeshaji pamoja na muziki wa kizazi kipya. Si haya tu alisema mengi tofauti
February 19, 2013
Vimbwanga vya Dr. Mashamsham!!! sasa wenye degree wa muangukia na kupiga magoti kwa Dr. Mashamsham mganga wa jadi sugu
| utata wa fol cartoon |
Vituko michezoni! goli kipa atoka kidogo kwenda kula na kumuachiaa goli muokota mipira....!!
| michezo -utata wa fol cartoon |
February 14, 2013
Picha mabalimbali za Mchina akila nyoka mzima mzima then nyoka anatokea Puani
Hatahivyo sherehe hizo ziliendelea katika maeneo mbali mbali ya China ambapo pia walikuwa wakisherehekea kumbukumbu za mwaka wa nyoka.
February 13, 2013
Siri Kubwa ya Mzee majuto ya Kuonana na Mh.Jakaya Kikwete
Stori: Mwaija Salum
STADI wa sanaa za maonesho nchini, Amri Athuman ‘King Majuto’ amesema
ameamua kumtafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya
Kikwete kwa sababu ana siri nzito anayotaka kumpa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi jijini Dar es Saalam, mkongwe
huyo alisema ni kweli anahitaji msaada wa trekta ambao anaweza kupewa
na wasaidizi wake, lakini ana mengi anayotaka kumwambia rais.
Amri Athuman ‘King Majuto’
January 12, 2013
Comedy:Kweli Mchina atatuua
January 8, 2013
Comedy:Huyu kweli ni mbwa Mcharuko
Kamera ya Mdaku leo inakuletea kioja cha aina yake pale mwanamke mmoja alipokuwa katika ka party huko mamtoni, huku akiwa kambeba mbwa wake na anaangalia pembeni, kumbe "bobi" huyo alishamaindi mzigo wa pembeni.
































