Blogger Widgets
Showing posts with label Vituko. Show all posts
Showing posts with label Vituko. Show all posts

June 2, 2014

Tazama Jinsi Nicki Minaj alivyotokea akiwa na kinguo kinachoonyesha maziwa yake, Rihanna akasirishwa na perfomance yake

 Hajawahi kuwa mmoja wa wanaoficha maungo yao kwa nguo  kubwa lakini alichovaa siku ya jana ilikuwa ni hataru tupu.

Siku ya jumapili kwenye Summer Jam Hip Hop na R&B, Nicki Minaj alionekana akiwa amevaa ki top cha silver chenye  kuonyesha maziwa yake kikiwa kimezibwa na alama ya nyota kwenye nipples zake.

Mambo yalizidi kuwaka moto zaidi pale Nicki Minaj alipomrukia Drake kwenye stage na kuzungusha miguu yake kwenye kiuno cha Drake na kumuwekea mikono mabegani  na Drake nae kuzungusha mkono wake kwenye kiuno cha Nicki,
 kitu ambacho hakikumfurahisha Rihanna ambae alionekana kuweka sura ya mbuzi alipokuwa akitazama waliyokuwa wanayafanya stajini.
Rihanna na Drake kwa sasa wameachana aada ya kurudiana mda si mrefu tanguwalipoaznza kudate mwaka 2009 baada yakupokea kipigo kutoka kwa Chris Brown.

Tazama Picha Jinsi Ray C alivyoingia Mtaani Kuwashauri Mateja Waachane na Madawa Ya Kulevya



 Ray C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......

May 23, 2014

Soma Na Tazama Picha za Kahaba Mkongwe ni Bibi Mwenye Miaka 85 Adai Bado Ana Mvuto na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa moja kwa kazi yake

Katika Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa moja kwa kazi yake.
Miaka minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika ukahaba ,kutokana na anachosema ni ukiwa anaosema ndio sababu ya kumfanya ajiingize kwenye biashara hiyo.
Akiwa na uwezo wa kuwaburudisha wateja angalu 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja wengi kuliko unavyoweza kufikiria.
Akizungumza kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : “kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana.”
Bi Vogel-Couple

May 5, 2014

Tazama Maajabu Mengine Yaliyoibuka Bada ya Diamond Platnum Kuchukua Tuzo saba za Kil Music Awards

Kutokana na Tuzo saba za Kili Music Award zilizofanyika Juzi ambazo Amepata Msanii Daimond Platnum Kutoka  Kundi wa Wasafi Baby. Sasa Maajabu Mapya yameikuka kutokana na Idadi ya Hizo Tuzo, kwani Idadi ya Tuzo Hizo Zimeendana Kabisa Na Idadi ya Maandishi ya vitu vilivyofanya achukue Tuzo Ikiwemo Jina Lake Pamoja na Nyimbo Zake
 Jina lake DIAMOND= Lina Herusi Saba sawa na Tuzo Saba alizopata
Nyimbo Yake NGOLOLO=Ina Herusi Saba sawa na Tuzo Saba alizopata
Au NUMBER 1=Ina Herusi Saba sawa na Tuzo Saba alizopata

TAZAMA PICHA ZIKITHIBITISHA MAAJABU HAYA YA DIAMOND PLATNUM
 1.Jina Lake Lenye Herufi saba sawa na Tuzo Alizopata
  

2.Nyimbo ya Ngololo yenye maandishi saba sawa na Tuzo Alizopata
 b

3.Jina Kamili ya Nyimbo Huyo Number1
 

May 2, 2014

Tazama Picha Iliyosambaa Ikionesha Jinsi Aunt Ezekiel Akionesha anavyofanya Romance Live na Mpenzi wake Kumlipa Wema Na Diamond

Aunt ezekiel afata nyayo za wema sepetu na diamond the platnumz, ni jana tu tuliona diamond the platnumz na wema sepetu waliamua kuachia picha ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi na aunt yake akaona isiwe shida, na yeye huko alipo dubai akaamua

May 1, 2014

Soma Story Kinachoendelea Juu ya ya Huyu Mchungaji anayewalisha waumini wake Manyasi kama Tiba


Ikiwa ni miezi miwili imepita toka huduma ya mtume Lesego Daniel wa nchini Afrika ya kusini ya Rabboni Ministries Centre kuwa maarufu duniani baada ya waumini wake kula manyasi ikiwa moja ya namna ambavyo roho mtakatifu alivyowaongoza, bado waumini wa huduma hiyo wanaendelea kula manyasi na kufanya njia moja wapo ya kupata uponyaji licha ya watu wengi kupinga ufunuo wa namna hiyo.
Kupitia picha zilizotolewa na huduma hiyo kupitia ukurasa wake wa facebook, umeonyesha waumini wakikimbilia matawi ya miti na kuanza kula majani yake, huku mmoja wa waumini aliyefika kanisani hapo kwa mara ya kwanza amesema amepona jino lililokuwa likimuuma mara baada ya kula majani, amesema kwamba alifika kanisani hapo kwa mara ya kwanza siku ya ijumaa akiwa na dawa za kutuliza maumivu pamoja na panado lakini hazikumsaidia ila majani yalimponya  na kwamba akirudi nyumbani mumewe (ambaye pia mtumishi) atafurahi sana kwa uponyaji huo.
Huduma hiyo ambayo inaongozwa na mtume msomi Lesego Daniel imekuwa ikipingwa na watu wengi hasa baada ya tukio la waumini kula nyasi huku pia mtume huyo mda mwingine huwafanyia maombi waumini wake huku akiwa amewakanyaga migongoni. Licha ya kelele kutoka kwa viongozi wa dini na makanisa mbalimbali kuwakataza waumini wao na wakristo kuwa makini na huduma ya mtumishi huyo, ndio kama wamewaruhusu kwenda huko kwakuwa inasemekana huduma hiyo imeendelea kujikusanyia waumini kila kukicha. Huduma hiyo ilikuwa ikifanya huduma zake katika majengo ya chuo kikuu cha teknolojia cha Tshwane kwasasa wamepata enero lao ambalo wameliita shamba la Rabboni ambalo wanatarajia kuhamia huko jumapili ijayo ya tarehe 4.
S

Waumini wakigombea matawi ya miti ili kupata majani ya kula, huu ni uharibifu wa mazingira nakwambia kha.
Mwenye nguvu anaondoka na majani mengi, kama uonavyo kila mmoja na tawi lake mwe.
Dada ambaye hapana shaka ndiye aliyeponywa jino.

Hatimaye Picha ya Jamaa aliyesambaza Video ya Mpenzi wake ya Utupu Aaanza Kujuta.Tazama Picha Hapa


HUYU KIJANA NI MWANAFUNZI WA IFM MWAKA WA 3 NDIYE ALIYEMDHALILIDHA MSICHANA WAKE WA ZAMANI MWANAFUNZI MWENZIWE WA MWAKA WA 2 HUYU ANAITWA ELIMRINGI MOSHI NA NAMBA YAKE YA SIMU HII HAPA 0767 112 062
TAYARI ameshalala rumande siku 2 yupo nje kwa dhamana kesi inakuja mahakamani soon tutasema siku ya kesi na itakapofanyika,


Picha ZilizoMake Headline Za Wema Sepetu na Diaomond Platnum za Mahaba Niue

Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo ni hatua chache kutoka kwenye Ofisi za Global Publishers ambao ni wachapishaji wa Magazeti Pendwa ya Amani, Risasi, Uwazi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.
ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, Wema alikuwa kwenye shughuli zake za kila siku maeneo hayo ambapo alikuwa ameegesha pembeni gari lake la rangi ya pinki aina ya Toyota Lexus Harrier bila kujulikana alikokuwa ameelekea.


 
Wakionyeshana upendo hadhalani
DIAMOND AIBUKA PEKE YAKE
Ikadaiwa kuwa, mara Diamond naye alitokea bila kujulikana alikotokea akiwa anaendesha gari lake aina ya Toyota Prado na kuegesha gari lake jirani na alipoegesha Wema.

SIMU YAPIGWA CHUMBA CHA HABARI GLOBAL
Mapaparazi wa Global wakiwa katika kazi za kila siku ndani ya ofisi, simu ilipigwa kwa mmoja wao na kutonywa kuhusu wawili hao kuwepo eneo hilo kimahabamahaba.

 
“Jamani Global hapa jirani na ofisi zenu Diamond amekuja sasa hivi, lakini inaonekana amemfuata Wema maana Wema alishakuwepo muda mrefu uliopita, njooni mchukue picha si ndiyo zenu au bado mna bifu na Wema tangu siku ile alipokuja kuwafanyia fujo?”
PAPARAZI AWAFIKIA
Haraka sana paparazi mmoja alibeba kamera yenye uwezo wa kupiga picha kwa umbali wa mita hata 250 bila mhusika kushtukia na kutoka nayo.

Kweli, lilikuwa tukio lilionesha kushangaza kwani paparazi alikuta wapita njia wakiwa wanapunguza mwendo ili kuwashuhudia wawili hao walichokuwa wakikusudia kukifanya bila kuogopa watu.

April 27, 2014

NI HATARI:wavunja Record kwa Kufanya Mambo ya Kikubwa Ndani ya Basi Huku wakisafiri na Mbele za Watu



Msanii Miley Cyrus sasa Avuka Mipaka Baada ya Kupanda Stage Akiwa na Mwanamke na Kuanza kuonesha Vitendo vya Usagaji

Mwana dada ambaye huwa haishiwi vituko kila kukicha MILEY CYRUS sasa amezihilisha kuwa kuwa ni msagaji  baada ya kuonekana katika stage akiperform na kwenda kumkiss mwanamke mwenzake Matiti yake.
angalia picha hapo chini alafu utoe maoni yako hapo chini....

April 22, 2014

Agness Masogange Amuelezea Mtu aliyempa madawa ya Kulevya Mpaka Kusababisha kukamatwa Huko south Africa


Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua.
 
Masogange amefunguka kuwa aliyempa mzigo wa 'unga', alivaa kama huyu.
Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vyetu makini katika kikosi kazi cha kuzuia na kudhibiti madawa ya kulevya nchini (Task Force), zinasema kuwa  mwanadada  huyo alipofika katika nchi hiyo, alipigiwa simu na mtu ambaye hamjui aliyemwambia kuwa atapewa mzigo, hivyo ajiandae kuupokea.
 
‘Video queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’.
“Alidai kuwa kuna mtu aliyevalia kininja alifika eneo alilokuwepo uwanjani pale ambaye hakumsemesha badala yake alimpatia mzigo wa unga ambao ulikuwa kilo 150 ambao hapa kwetu ni madawa ya kulevya na kuondoka kusikojulika,” kilisema chanzo.
Kwa upande wake, Kamanda wa Kudhibiti na Kupambana  na Madawa ya Kulevya nchini,  Godfrey Nzowa alipohojiwa na gazeti hili alithibitisha kuwa Masogange aliwaeleza polisi wa Afrika Kusini kuwa aliyempa unga ule ni mtu aliyekuwa amevalia kininja.

Picha Jinsi Kamanda Alivyofumwa na Mke wa Mtu Gest Tabata akiwa na Radio Call Yake


KAMANDA wa kampuni moja ya ulinzi ya jijini Dar es Salaam (jina tunalo), Japhet Misana ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha mafunzo cha kampuni hiyo, Alhamisi iliyopita wakati Wakristo wakiwa kwenye hekaheka za Sikukuu ya  Pasaka, alinaswa gesti akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.
 
Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.
Kamanda huyo na askari wake (jina tunalo) walijichimbia kwenye gesti hiyo iliyopo Tabata Matumbi, Dar kwenye chumba namba 6.
 
Kamanda wa kampuni ya ulinzi, Japhet Misana akivaa baada ya kunaswa akiwa na mke wa mtu.

April 14, 2014

Linah ana Maksudi!!






Baada ya Muda mrefu msanii Nazizi kutoka kenya na Producer Sappy kutoka Bongo Kukanusha kwamba sio wapenzi sasa Picha zimedhihirisha kuwa ni wapenzi

Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa Homeboyz Production ya Kenya, wawili hao wameendelea kuwa karibu kiasi cha kutoonesha ‘uhusiano wa msanii na producer’ wake kama walivyosema.
67c299a4af9411e3886b0e70ff76d02d_8
Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha producer huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
Like Step Father like Son - Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.
10011226_1419824444938758_199959497_n
Hawaachani

April 11, 2014

Baada ya Ney wa Mitego Kubisha kwa Matendo machafu ya mpenzi wake Siwema sasa Waamua kumvulia kofia kwa Kuanika picha za SIWEMA za Utupu ili waone kama na kwa hili Atabisha tena.EXCLUSIVE


Kutoka TEAMUKWELINAUWAZI instagram...Leo wameibuka na Demu wa Ney wa mitego....
Nanukuu.....
" Hivi wewe Ney wa mitego unaakili kweli sasa hapo unataka kutuambia kitu gani ! Kua huyo siwema anasingiziwa au?? We kaka embu jitambue msijifanye na nyie ni Diamond na wema maana nazani Diamond angefanyiwa hivyo asingekubali kwa jinsi tunavyomjua Diamond angeenda kuopoa kitu siku hiyo hiyo...! Harafu wewe Ney kutwa kuwasema Bongo movie malaya sasa huyo demu wako movie yake mbona kawafunika hadi Bongo movie sasa!! Bwana We tunaujua ukweli kua demu ndio anaekuweka mjini ubavu wa kumuacha huna ukimuacha huyo magari makali utayapata wapi?! Demu anagawa tako mwanza Nzima inamjua umalaya umepitiliza na wewe unalijua hilo wewe Ney pesa Ya kumnunulia gari huyo demu huna .. Chezea kulelewa wewe yaani wewe ndio umekua wa kumuomba msamaha siwema Jina lake lenyewe Linajieleza kwamba huyo si mwema Si_WEMA.... Eti Leo hii unapost kapicha ka kujipooza hehe wakati unamastress shetani hataki..... Acha mteremko mbona We JEMBE tu na unaweza kabisa au ndio mahaba niue aaah misemo mingine ipishenibwana haya sasa na picha Za uchi juu .... Ila kana ziwa la hatari haya nej kanyonye uendelee kua kijana.

April 8, 2014

Hii Hizi Hapa Picha Mbalimbli na Video ya Mpenzi wa Ney wa Mitego(SIWEMA) akiwa na anavishwa pete na Huyu Pedeshee Deo kwenye sherehe ya kuvishwa pete uchumba.KULA UJANA SIWEMA

Akivishwa Pete


Aki wow baada ya Pete Kuvikwa


Full Ma Deep Kisses


Akionyesha Waaalikwa

April 7, 2014

Soma Story Nzima Jinsi Ugomvi wa Wema sepetu na Kajala Uilivyozua timbili Kisa Million 13 alizolipiwa kajala na wema ili asifungwe jela Mpaka kusabisha kajala kuitwa"Million 13 za wema" kila anapopita

NI shida! Zile shilingi milioni 13 alizotoa Wema Isaac Sepetu kumlipia msanii maarufu wa sinema Bongo, Kajala Masanja asitupwe gerezani, bado ni tatizo ikidaiwa kuwa sasa ngumi nje nje.
 
Kajala akitoa maelezo kwa uchungu unaodhihirisha uhasama kati yake na Wema.

JINA LA MILIONI 13 ZA WEMA
Kwa muda mrefu sasa, Kajala amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii hasa matusi ambayo
hayaandikiki huku akipachikwa jina la ‘Milioni 13 za Wema’ na kuahidiwa kichapo.
Kwa mujibu wa watu wa karibu wa Kajala, staa huyo hana raha wala furaha kwani ishu hiyo inamtesa kila kukicha.

 
Wema Isaac Sepetu.
Ilidaiwa kwamba Kajala ana mtoto mkubwa aitwaye Paula aliyezaa na prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funk’ ambaye anajua kuingia kwenye mitandao hiyo hivyo kufedheheshwa hasa anapokuta mama yake akiitwa fuska wakati yeye anamheshimu.

Tazama Picha za Huyu Jamaa aliyetia Fola kwa Kulia Hadi Machozi mpaka kukaa chini ili Kupiga picha na diamond Platnum Hadi kumlazimu Diamond Kushuka kwenye Gari na Kupiga nae picha


  Diamond aliongea kwa kusema:
 Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
 ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
 kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana 
aliyeangua kilio  akishinikiza anione
 na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina


 watu out there walio upande wangu,watu
 wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
 kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
 apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
 na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo 
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata 
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
 mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
 kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
 picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU


 Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
 Hakuishia kule,hata nilipomaliza show alinifata
 kwenye gari tena..mda huu nilikuwa nikifabya mahojiano na Clouds TV