Blogger Widgets
Showing posts with label Fashion. Show all posts
Showing posts with label Fashion. Show all posts

May 24, 2014

Hebu Tazama Amazing Pichures za Pre-wedding dinner ya Kanye West na Kim Kardashian iliyofanyika jana Paris, ndoa kufungwa leo (May 24) Italy

Jana Ijumaa (May 23) Kanye West na Kim Kardashian waliianza ratiba yao kuelekea siku ya harusi ya mwaka inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa kufanya ‘pre-wedding dinner party’ huko Paris, Ufaransa huku ndoa yenyewe ikitarajiwa kufungwa leo.
kimye1
Maharusi wakiongea mbele ya wageni waalikwa

Jana mitaa ya Paris ilishuhudia pilikapilika za wageni na mapaparazi wakielekea eneo ilipofanyika sherehe ya chakula cha jioni kabla ya ndoa (pre-wedding dinner), iliyohudhuriwa na wageni wanaokadiriwa kufikia 100 wakiwemo dada zake Kim, Kourtney, Khloe, Kylie, Kendall na mama yake Kris Jenner na wageni wengine mbalimbali.
kimye3
Kim na ndugu zake

Usiku huo ulipambwa na burudani mbalimbali ikiwa ni pamoja na mwimbaji aitwaye Lana Del Rey.
kimye2
Kwa mujibu wa ripoti, fataki zilitawala eneo la tukio, huku ikisemekana anga la eneo hilo siku ya jana lilikuwa ‘NO-FLY ZONE’, hakuna ndege yoyote iliyokatiza.
.
Chupa 1,000 za champagne ziliandaliwa kwaajili ya wageni waalikwa waliohudhuria.

Kwa mujibu wa Entertainment Tonight, maharusi watarajiwa Kimye waliwatangazia wageni waalikwa kuwa ndoa yao itafungwa siku inayofuata yaani leo Jumamosi (May 24) huko Italy.
kimye5
kimye6-kanye akilinda mali yake
Kanye akilinda mali yake

kimye7

May 1, 2014

Tazama Picha Jinsi Tattoo zinavyowatesa Wasanii Wakubwa



Producer Pharrell Williams alishawahi kukiri kuwa alipata maumivu makali sana wakati anafuta tatto alizochora wakati wa ujana wake na akajutia kitendo hicho. Alikuwa muoga wa magonjwa atakayopata baada ya tattoo kufutwa na mionzi mikali kwenye mwili wake inayoweza kusababisha saratani na magonjwa mengine.






Angelina Jolie alibidi afute tattoo ya mpenzi wake wa awali Billy Bob aliyoichora wakati wako pamoja.










Huyu ni mwigizaji Matt" Damon alijichora tattoo kabla hajawa B list Super Star wa filamu marekani na kuamua kuifuta ili kujenga heshima zaidi.


Jamaa aliweka midomo ya rapper Trina kwenye shingo yake wakati wako pamoja na baada ya kuachana nae alibidi afute tattoo, Maumivu yake sasa.

April 14, 2014

Muonekane wa K-LYN Baada ya kotooneakana kwa Muda Mrefu kwenye Media.GOOD LOOKING





Tazama Picha za Red Carprt za Mastaa wa Mbele kwenye Tuzo za MTV Movie Awards

MTV Movie Awards 2014 zilitolewa jana, Nokia Theatre jijini Los Angeles. Tazama orodha ya washindi na picha za red carpet hapa.
page
MOVIE OF THE YEAR
The Hunger Games: Catching Fire (Lionsgate)
Director: Francis Lawrence
Producers: Nina Jacobson and Jon Kilik
BEST FEMALE PERFORMANCE
article-2603947-1D17A0A500000578-236_470x827
article-2603947-1D17B59E00000578-856_470x870
article-2603947-1D17BC1C00000578-405_470x870
Jennifer Lawrence – The Hunger Games: Catching Fire (Lionsgate)
BEST MALE PERFORMANCE
Josh Hutcherson – The Hunger Games: Catching Fire (Lionsgate)
BREAKTHROUGH PERFORMANCE
Will Poulter – We’re the Millers (New Line Cinema)
BEST KISS
Emma Roberts, Jennifer Aniston and Will Poulter – We’re the Millers (New Line Cinema)
BEST FIGHT
The Hobbit: The Desolation of Smaug (Warner Bros. Pictures) – Orlando Bloom and Evangeline Lilly vs. Orcs
article-2603947-1D17DF4D00000578-751_470x808