Blogger Widgets

January 4, 2013

Baadhi ya Picture zikimuonesha Mh.Raisi Jakaya Kikwete akishiriki Maziko ya Marehemu Sajuki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika mchana huu kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
 
 
 
 
Hii ndio safari ya Mwisho ya msanii wa filamu za Tanzania Bongo movie  maaraufu kwa jina la Sajuki