Blogger Widgets

January 21, 2013

Hii ni kwa Wale wanaopenda Kujichora Tattoo sehemu za ,mwili wao,Star wa Kike wa Marekani "Deelishis" aamua Kujichora Tattoo kwenye Makalio yake nakutokea kitu Mchoro wa cover la magazine la Straight Stunt

Nyota Deelishis ameamua kuongeza umakini katika sehemu zake za nyuma ya mwili wake , kama hiyo haitoshi pia nyota huyo ameongeza umakini kwa kuamua kujiongeza michoro zaidi katika sehemu zake za nyuma ya mwili wake na kutokea katika cover la magazine la Straight Stunt ambapo aliongeza baadhi ya kazi za sanaa za wasanii maarufu