Blogger Widgets

March 20, 2013

Picha za wabunge waliorushiana Viti na Makonde kwenye Mdahalo uliokuwa Unafanyika



















 







 




 wabunge wapigana kwenye TV show

 Wabunge wawili wapigana makonde wakati wa kipindi cha mdahalo kwene runinga ya kitaifa huku Georgia.
Huko Lebanon wabunge wengine wawili pia warushiana glasi za maji na baadae kupigana ngumi vilevile wakati wa mdahalo kwenye Televisheni. Hii ni baada ya wabunge hao kuhitalafiana kuhusu vita

vinavyoendelea nchini Syria baina ya waasi na serikali ya Rais Basher al Assad.